President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Ongezea na hii hapa:-Hapo JNHPP imewashwa turbine moja tu
Mixed Energy is sources is very importnant najua tunaelekea kujenga project za hydro tu miaka ijayo pamoja na solar ya shinyanga , ila tusiache gas na haya mabadiliko ya hali ya hewa Ni muhimu kuweka plan ya Kinyerezi 3 and 4 hata kama ni baada ya JNHPP kuisha, kama sa hizi tumepata floods na heavy rain , you never know when drought is coming .
Hata kama Gas sio plan , basi Geothermal
Miradi ya Kuzalisha Umeme Iliyopo katika Hatua za Maandalizi (Bajeti 2024/2025 Nishati Ukurasa 125)
1. Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Kutumia Maji ya mto Kikonge–MW 321
2. Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Kutumia Maji wa Ruhudji – MW 358
3. Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Kutumia Maji wa Rumakali – MW 222
4. Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Kutumia Gesi Asilia wa Mtwara - MW 300
5. Mradi wa Kinyerezi III wa Kuzalisha Umeme kwa Kutumia Gesi Asilia MW 600
6. Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Kutumia Upepo Kititimo Mkoani Singida - MW 100
7. Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa Kutumia Jua Wilaya ya Manyoni - MW 100
8. Mradi wa Kuzalisha Umeme kwa kutumia Jua - Zuzu Dodoma MW 60