Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpeni email ya CAF na FIFA awatumie aache kujaza seva za Jf. 😂😂😂
Kanaumia kuona Kenya haina CAF standard stadium, eti tulitoa rushwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Maviwanja yao wanajenga wakenya, Sasa nani hajui wakenya walivyo hovyo kwenye Engineering, maviwanja yako hovyo, washrooms mavi matupu, pitch hovyo, wao wakijenga jukwaa moja wanataka wapewe approval from CAF 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hahaha huwa najiuliza unapata wapi nguvu? As if Marcopolo ni Kampuni ya Kenya manaongea as if Scania ni Kampuni ya Kenya.
Why are you arguing like a fool? Irizar mmenunua body from South Africa, does that mean Irizar ni kampuni ya South Africa?
 
The workmanship though......
Still better than this even before imalizwe😂😂😂
IMG_0157.jpeg
 
Kanaumia kuona Kenya haina CAF standard stadium, eti tulitoa rushwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Maviwanja yao wanajenga wakenya, Sasa nani hajui wakenya walivyo hovyo kwenye Engineering, maviwanja yako hovyo, washrooms mavi matupu, pitch hovyo, wao wakijenga jukwaa moja wanataka wapewe approval from CAF 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
CAF ndio ng’ombe ya wapi?
 
Nimeona Ulinzi Stadium imeumiza watu wengi sana. Acha Niendelee kupost hili walie zaidi😂😂😂.

Ulinzi Gymnastics area.
1715096735465-jpeg.2983556

1715096783616.jpeg

1715096825593.jpeg

1715096862229.jpeg

1715096941852.jpeg
 
Attachments

  • 1715096735465.jpeg
    1715096735465.jpeg
    102.5 KB · Views: 19
Nimeona Ulinzi Stadium imeumiza watu wengi sana. Acha Niendelee kupost hili walie zaidi😂😂😂.

Ulinzi Gymnastics area.
1715096735465-jpeg.2983556

View attachment 2983558
View attachment 2983561
View attachment 2983562
View attachment 2983563
Hili jambao unalikimbia kila kukicha (Hapo Kenya vipi?) Tupatie basi values

Mega Projects ongoing and their values in Tanzania​

  1. Electric SGR - $10.04B
  2. East African Crude Oil Pipeline (EACOP) - $5B
  3. Julius Nyerere Hydropower - $3.5B
  4. Government City (Dodoma) $4.7B
  5. Tanzania LNG project $42B
  6. Sino Tan Kibaha Industrial Park $3.3B
Total is $68.54B
 
Jumla ya uwezo wa mitambo kwa sasa ni 2,137.96 MW, Bado mitambo 8 ya Bwawa la Nyerere haijawashwa.
View attachment 2983495

Source Bajeti ya Nishati 2024/2025 page 178
Hapo JNHPP imewashwa turbine moja tu
Mixed Energy is sources is very importnant najua tunaelekea kujenga project za hydro tu miaka ijayo pamoja na solar ya shinyanga , ila tusiache gas na haya mabadiliko ya hali ya hewa Ni muhimu kuweka plan ya Kinyerezi 3 and 4 hata kama ni baada ya JNHPP kuisha, kama sa hizi tumepata floods na heavy rain , you never know when drought is coming .

Hata kama Gas sio plan , basi Geothermal
 
Kwanini gas haikusaidia kupunguza mgao?
 
Back
Top Bottom