Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani alienda Tanzania lini?
Last week.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Walipost humu wakijisifu. Yani Rais wetu akienda kwao, wanajisifu. Wao akija kwetu, wanajisifu. Hawa watu bana.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒ
 
Last week.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Walipost humu wakijisifu. Yani Rais wetu akienda kwao, wanajisifu. Wao akija kwetu, wanajisifu. Hawa watu bana.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒ
Mgeni yeyote akija Tanzania lazima tuseme. Kwani kuna tatizo kusema Ruto amekuja Tanzania? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Kwahiyo renovation mwiko? Nyoko sana wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…