Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Kuna mnuka mavi mmoja tu humu ndio anakaza fuvu 🤣🤣Safi sana kaka, asante kwa hii video, ni kweli hayo ma running track hatuyataki mana hii nchi sio ya riadha kama kenya, hii nchi ni ya soccer, ma running track yabaki Arusha ila Dar tunataka football stadiums, period.
Kikubwa wasirudi kwenye jeneza na kuambiwa waliuawa Ukraine
Hii hapa Julius Nyerere International Convention Centre (Halafu walio kwenye Mkutano ni Presidents hawa jamaa ni wababaishaji sana)Mpaka leo hawa watu wanatumia hivi viti tena kwenye high profile conference kama hiyo? 🤔 Wakati Tanzania hata kwenye harusi za maana hakuna mtu anataka hii sitting style ya kizamani hivi 😁
Hawana conference ya maana hawa waganga njaa
View attachment 2976763
Hata ingekua wewe 😁😁 hili likichuguu linatishaSijui kwa nini wanaona aibu kutangaza mlima Kenya ambao wote upo kwao😎
Siwezi tangaza haki ya mjomba 😀 😀 😀
Duh aisee hivi si viti vya sendoff parties? Yaani ina maana hamna hata pa kuweka laptop!Mpaka leo hawa watu wanatumia hivi viti tena kwenye high profile conference kama hiyo? 🤔 Wakati Tanzania hata kwenye harusi za maana hakuna mtu anataka hii sitting style ya kizamani hivi 😁
Hawana conference ya maana hawa waganga njaa
View attachment 2976763
KICC was constructed in 1969 you idiot. There are uncountable conference venues in Nairobi with modern halls. Nairobi sii ligi yenu.Duh aisee hivi si viti vya sendoff parties? Yaani ina maana hamna hata pa kuweka laptop!
Like? Can Nairobi compete with Zanzibar? AICC was also built same time but well maintained!KICC was constructed in 1969 you idiot. There are uncountable conference venues in Nairobi with modern halls. Nairobi sii ligi yenu.
Duh hivi hawa wanasemeshana kweli 🤔
Bro, Nairobi can't compete with Zanzibar because it's condescending to do it. Hivi wewe ukiambiwa ufanye mtihani na mtoto wa darasa la nne utaskiaje? Stop being stupid.😂😂Like? Can Nairobi compete with Zanzibar? AICC was also built same time but well maintained!
Wepesi kusahau hao mkuu 🤣🤣🤣Si hata SGR mulisema hvo hvo umesahau?😅😅
Tunaiteka Kenya. Kila mtu anatamani kuwa rafiki wa nchi ya Tanzania
View attachment 2976625
View attachment 2976626
View attachment 2976627
View attachment 2976628
Tatizo ni Rais wenu anakuja kufanya nini? 😀 😀 😀 Context tofauti kabisaHawa watu bana. Rais wetu akienda nchi yao, wanajisifu. Rais wao akija nchi yetu, wanajisifu. Hawa walirogwa.😂😂
So hivyo viti havihamishiki ama vimechongewa hapo toka 1969? 🤣🤣🤣KICC was constructed in 1969 you idiot. There are uncountable conference venues in Nairobi with modern halls. Nairobi sii ligi yenu.
Sikiliza Speech Konki from TZHawa watu bana. Rais wetu akienda nchi yao, wanajisifu. Rais wao akija nchi yetu, wanajisifu. Hawa walirogwa.😂😂
Waambie Nairobi is the center of Conferences in East Africa. If they have better conference facilities then why didn’t they host the event?Bro, Nairobi can't compete with Zanzibar because it's condescending to do it. Hivi wewe ukiambiwa ufanye mtihani na mtoto wa darasa la nne utaskiaje? Stop being stupid.😂😂