The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,996
Hope keshajua tofauti ya Tanzania na Kenya, hakuna mtalii anarudi Kenya baada ya kufika Tanzania, no wonder tunawazidi tourist receipts tena kwa mbali sana.Ndio maana tunawaambia hizi beef zenu na hasira zimetokana na inferiority complex na utoto. Kelis mwenyewe ashawai kuja Tanzania anajua mlima upo Tanzania. Hapo amesema tu anaupna Kilimanjaro ndio nyinyi Watanzania mmeanza kelele zenu. Ndio maana Kila siku mnasema tunawaibia vitu.ππ
Mmemwambia kwani hajui? Utoto ndio mko nao. Mnajiaibisha.tumemwambia whose Mt is that! That's confidence!
Onesha ukubwa wako kwa kupost Kichuguu chenu cha KenyaMmemwambia kwani hajui? Utoto ndio mko nao. Mnajiaibisha.
As long as it is ours hamna utoto ni wivu unakusumbua! Mimi nimeweka comment pia leo! Popote pale utakapoona view ya Mt Kilimanjaro, it belongs to Tanzania comment itakuwapo! Huwezi kuona Watanzania wanacomplain kuhusu Kibera belongs to Kenya!Mmemwambia kwani hajui? Utoto ndio mko nao. Mnajiaibisha.
Sasa si uende uambie Kelis? Unaniambia ndio nifanye?ππAs long as it is our hamna utoto ni wivu unakusumbua! Mimi nimeweka comment pia leo! Popote pale utakapoona view ya Mt Kilimanjaro, it belongs to Tanzania comment itakuwapo! Huwezi kuona Watanzania wanacomplain kuhusu Kibera belongs to Kenya!
Hii ni official visit ama ni mkutano wa kimataifa?
Ni mkutano wa Kimataifa.Hii ni official visit ama ni mkutano wa kimataifa?
Chonde chonde Bashe utaua jirani legeza vise plz π
Wewe ****** si umeleta malalamiko ya Wazalendo kumuambia Kelis Mt Kilimanjaro upo na unamilikiwa na Tanzania tukakugonga vitasa!Sasa si uende uambie Kelis? Unaniambia ndio nifanye?ππ
Ni habari ya March 2020 bongolala1968 news serious πππ ww umechanganyikiwa na floods au
View attachment 2976194
Sasa mafuriko, an act of nature ikifanyika inamaanisha nchi ni failed State? Hivi, huko kwenu Yemen mafuriko hayafanyiki?Failed state indeed πππ
View: https://twitter.com/citizentvkenya/status/1784618597895086381?t=t_n68KSdquzQW3Pfao6PQg&s=19
Hii ikifanyika itakaa poa sana,hakuna haja ya running tracks kwenye dunia ya sasa ambayo inakuwa included nafootball pitch.........Ila hii AFCON kutokuipeleka Mwanza nahisi wanataka kututenga sana sisi watu wa Lake zone
View: https://x.com/MsigwaGerson/status/1783510138688548889Kagusia issue ya kutoa running tracks kwenye UHURU STADIUM ambayo nilikuwa naisema watu wakaniona mimi mjuaji, a soccer stadium does not need running tracks hata MKAPA ikiwezekana waitoe tu uwe full soccer stadium runniing trucks zibaki ARUSHA , plus kaongelea kujenga Dodoma stadium
Sijalalamika, nimecheka. Kuna tofauti.ππWewe ****** si umeleta malalamiko ya Wazalendo kumuambia Kelis Mt Kilimanjaro upo na unamilikiwa na Tanzania tukakugonga vitasa!
Tulipowaambia Talanta haitokuwa na running tracks mlileta ubishi kama kawaida yenu. Leo hii mnashangilia uwanja usio na running tracks.ππHii ikifanyika itakaa poa sana,hakuna haja ya running tracks kwenye dunia ya sasa ambayo inakuwa included nafootball pitch.........Ila hii AFCON kutokuipeleka Mwanza nahisi wanataka kututenga sana sisi watu wa Lake zone
MyTake;kuna vile viwanja vya ccm vimejaa nchi nzima,kwanini gavoo wasivichukue waviboreshe,nahisi pesa haitakuwa kubwa kiasi hicho
nani alilalamika kuhusu mambo yenu??? sisi tunajenga nchi kwa kuangalia maslahi mapana ya Taifa letu pendwa la Tanzania lakini nyie mnajiingiza kwenye mikopo mikubwa ambayo isiyokuwa na maana yoyote eti kwaajili ya kupambana na Tanzania!!!! mtakufa kenge nyieTulipowaambia Talanta haitokuwa na running tracks mlileta ubishi kama kawaida yenu. Leo hii mnashangilia uwanja usio na running tracks.ππ