Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa bongolala me huwa naskia Dodoma na dar .izo zingine..na kidogo arusha juu ya EAC izo.zingene kabori
ndugu Dodoma pale ni kama Garissa tu...nje ya Dar hamna maendeleo yoyote...vichaka tupu na wanyama pori
 
East Africa's tallest building inakimbia kwel kwel...kwa mwendo huu 2019 inaonekana tutakuwa na majengo 9 refu kabisa ukanda huu kisha hio TPA inakuja nambari 10...

Where are they????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ndugu Dodoma pale ni kama Garissa tu...nje ya Dar hamna maendeleo yoyote...vichaka tupu na wanyama pori
Mwenzako collo alikiri juu ya dodoma πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hii ndio garissaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Huyo jamaa ni Mkenya halafu anajifanya Mtanzania. Wameshaanza kuukana uraia wao...
pole sana bishop fake kabisa...ina maana bongolala wenzako hawawezi wakaisifu Nairobi? lazma tu iwe ni mkenya anajifanya mtz? huna point useless bishop...jitayarishe kesho jumapili ukale sadaka za wakristo kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…