Umesema hata 100km/h haifiki?ππUkisikia hiyo video inalia kakakakaaakkaaakkaaaa
Ni sababu ya hii, railway ikiwa hivi hata 100kmh haifiki
View attachment 2973435
Angalia ulivyojisahau speedometer inasoma mpaka 200 km/h yet announcement board inaonyesha over 300 km/h!Hii mambo ya Speed Naona ikitesa hawa wachawi sanaππ
View: https://youtu.be/tYr_Rmn6Pqg?si=dfEWqtaQz21LOF7S
View attachment 2973471View attachment 2973472
Yaani siku nzima umekaa unajiliwaza tu na hako kavideo feki hadi unakwenda kulala, ha ha haπ
Did you forget the part I said that Kenya procured new locomotives?ππAngalia ulivyojisahau speedometer inasoma mpaka 200 km/h yet announcement board inaonyesha over 300 km/h!
Project ilikuwa ya mda gani?Issue kubwa ya Tz, ni Grid stabilization walisign project ya ku stabilize grid kwa 1.9trillion .Imefikiwa wapi?
Unahangaika na Popoma.Yaani siku nzima umekaa unajiliwaza tu hadi unakwenda kulala, ha ha haπ
Wamezima kinyerezi au ??? Maana hii habari sielewi vizur kwamba wazme mitambo ya mabwawa mitano???
Unamkumbuka yule ng'ombe aliyeshidwa kutoa maziwa? coalition of willing πππI know it, I'm asking how does it make Kenyans bad people?
Mionzi ainishi ni mionzi yeyote mikali ama wazungu wanasema radiations.
Mionzi ainishi ni mionzi yeyote mikali ama wazungu wanasema radiations.
Mdaki ni sawa na kitu chechote kitumiacho mionzi kuskani.