mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Tuwekee CBD ya Zanzibar na pia Dar.Tunataka Sky view ya Nakuru plz.
Tuwekee CBD ya Zanzibar na pia Dar.Tunataka Sky view ya Nakuru plz.
La hasha hio ndio amsterdam...maswali ya kipumbavu ndugu.....Hiyo ndiyo mombasa?
I Know it because im not like you. 😀😀😀😀. That photo was taken by one famous photographer during the full moon in 2016 On the nights of November 13th and 14th.sasa umejuaje pale ni Oman? ushakua nabii? haya usili lie sana bas...toa picha ile na bado Mombasa sio ligi yenu
Kama ilala bungoniHiyo ndiyo mombasa?
Katika picha 10 ulizopost 5 ni za marina yani inaonesha jinsi gani huna picha zaidi ya marina kila ukipost lazma ueke kipande cha marina😀😀😀😀
Pwahahahaha naona Mwanza umeogopa kuleta...unaona utaibika...ati mji wenu wa pili...duh!!!maajabu hayaNashangaa kumbe kamji ka mombasa ni kadogo hivyo. Halafu unajikunja kweli basi ngoja nianze kukugonga kidogo kidogo na Ugunguja - Zanzibar
![]()
![]()
![]()
Cry us a river.Hao ni watoto wamitaani wastiri man hawajapenda kufulia kiasi icho! !
unajua kila mtu anaweza kupayuka payuka...leta picha zizungumze...sio ujinga wako hapa...kula hii kwanza ushibe...mji wa Mombasa...mji wa pili....mji wenu wa pili naskia ni Mwanza...pwahahahaMwanza ipo juu ya Mombasa. Hakuna ubishi. Mwanza inaifukuzia Nairobi.