ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Alaf after renovation bado haina standards za CAF na FIFa π π π π Yani watu wamekula billions of money na still no any standard of FIFA or CAF nyinyi mulirogwa na Nani ??π π π πAti hakuna kitu kinaonekana? How many stadiums in Tanzania have 30,000 seats? Ama wewe huoni viti?