Sasa kati ya TZ na Kunya nani ana shida ? Maana as we speak hamuelewani na jirani yeyote. You donβt get along with Somalia, Uganda, Ethiopia, South Sudan.. afadhali Hata Tz tunaustahimilivu juu ya Tabia zenu za Hovyo. Ethiopia huwa wanawapelekeaga tu moto. Ukweli usemwe. Mna tabia za Hovyo.Sasa tabia zetu vipi na tunapendwa kwengine kwote. On the other hand, Kuna video ya Mnijeria humu akiwalalamika mlivyo wabaguzi na kujifanya wazungu. Nyinyi tu ndio mna chuki?πππ
Zanzibar hawengejiunga nanyi kamwe kama wangekuwa na eneo kubwa kama pwani ya Kenya. Ukumbuke pia pwani ya Tanzania yote plus section ya pwani ya Mozambique na Somalia zilikuwa under Zanzibar sultanate. Practically mngeipoteza Dar, Tanga na pwani yenu yote. Usijifanye ng'ombe.Mpumbavu wa wapi wewe Muungano ulitokea baada ya Sultan kupinduliwa! Na kama Mombasa ingekuwa chini ya Sultan kipindi cha Mapinduzi ingekuwa chini ya Muungano saahii! BTW thanks the Queen of England for buying Mombasa from Zanzibar Sultanate!
Sasa kati ya TZ na Kunya nani ana shida ? Maana as we speak hamuelewani na jirani yeyote. You donβt get along with Somalia, Uganda, Ethiopia, South Sudan.. afadhali Hata Tz tunaustahimilivu juu ya Tabia zenu za Hovyo. Ethiopia huwa wanawapelekeaga tu moto. Ukweli usemwe. Mna tabia za Hovyo.
Hii ni stadium kwa huko Kenya?Ulinzi Stadium
View attachment 2970554
Ukiongea hivi mtu hawezi jua mna maboma ya nguruwe kama haya mnayaita stadium na hata kuchezea premier league games.Hii ni stadium kwa huko Kenya?
Erdogan aliwahi kuja lini Tanzania? Vimefaulu Kwa Samia mnatafuta kubebesha Marehemu π€£π€£
Atakuja awamu hii ya Samia na mtawaona wengi.
Yaani ujifungie ndani hupendi Kwa wenzako then shughuli Yako unataka watu waje? Hakuna punguani wa hivyo.
View: https://twitter.com/Dodoma_Zone_/status/1782153597754429739?t=_wW1HohCSEUjKF696PCtQg&s=19
Toka uhuru mpaka leo hamjaweza ku manage basics kama chakula, afya ndio mtawezana na mambo ya space technology π€£π€£π€£π€£Kenya has been keenly working on establishing strong presence in Space exploration and science. Been working with China to establish permanent station on the moon.
Together with that, Kenya has been working on Rocket and Missile program called nakuja.
These rockets are being developed 100% in Kenya.
View attachment 2970541View attachment 2970542View attachment 2970543View attachment 2970545View attachment 2970546
We juha kwani Zanzibar sio Tanzania?Zanzibar hawengejiunga nanyi kamwe kama wangekuwa na eneo kubwa kama pwani ya Kenya. Ukumbuke pia pwani ya Tanzania yote plus section ya pwani ya Mozambique na Somalia zilikuwa under Zanzibar sultanate. Practically mngeipoteza Dar, Tanga na pwani yenu yote. Usijifanye ng'ombe.
Hela zimeenda kujenga base kwenye moon π
Hebu mzee jaribu kutafuta facts. Sipendi watu wanaoongea vitu ovyo. Hivi wewe ni chawa?Erdogan aliwahi kuja lini Tanzania? Vimefaulu Kwa Samia mnatafuta kubebesha Marehemu π€£π€£
Atakuja awamu hii ya Samia na mtawaona wengi.
Yaani ujifungie ndani hupendi Kwa wenzako then shughuli Yako unataka watu waje? Hakuna punguani wa hivyo.
View: https://twitter.com/Dodoma_Zone_/status/1782153597754429739?t=_wW1HohCSEUjKF696PCtQg&s=19
Kazi nzuri Azam media kuhamasisha mpira kwa jirani maana ilipigwa promo ya nguvu πNyayo stadium was full to the brimView attachment 2970425View attachment 2970426
1. Ethiopia never get colonized. Mliipigania uhuru wapi?Shida yenu Wabongo huwa mnadhani mkikariri chuki zenu mara nyingi zitakuwa ukweli. Hizo nchi ulizotaja zote tuna relationship nzuri sana Nazo. SS wamepigania Uhuru wao Kenya. Bila Kenya hawangekua huru. Tunavyoongea familia ya Garang na Salva Kiir zinaishi Nairobi. Garanga amekulia Nairobi na akasoma Nairobi. Vikao vyao vya Uhuru vilivanyiwa Nairobi. Kuna wakati serikali ya Somalia ilikaa Nairobi na vikao vyao vikafanyiwa Nairobi. Uganda nao usiseme. Our best neighbor. Tunawapenda wanatupenda. Ethiopia pia Hadi safaricom wamefungua branch huko. Endeleeni kutuombea mabaya tukiendelea. Msidhani sisi ni nyinyi mnaodhulumu Malawi.
Hapo Bongo mliwanyanyasa Black Americans Hadi sahii wako mitandaoni wanamlia. Yule Mnijeria akasema mnajifanya Wazungu. Yani mna roho mbaya sana nyinyi watu.
Soma kuelewa, sio kujibu. Better still, learn your history.We juha kwani Zanzibar sio Tanzania?
Wewe ndio huelewi sababu za wao kujiunga na Tanganyika wala si ardhi! Na mbona roho inakuuma hivyo juu ya mambo ya Tanzania? Unafikiri mngejiunga nao mkiwa chini ya uongozi wa zuzu Kenyatta snr.?Soma kuelewa, sio kujibu. Better still, learn your history.
Kipindi hicho nilikuaga wapi Hadi tukio hili likanipita? We fala acha matusi.Hebu mzee jaribu kutafuta facts. Sipendi watu wanaoongea vitu ovyo. Hivi wewe ni chawa?
Turkey, Tanzania to work on production of military and defense materiel - Nordic Monitor
Nordic Monitornordicmonitor.com
UCHAWA WAKO NI WA KIPUMBAVU
Assembled Ukunyani Teargas πππScania bus,irizar 16i in πΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ π
View attachment 2970639View attachment 2970640
Kule Katarama huku Mkombe ππScania bus,irizar i6s in πΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ π
View attachment 2970639View attachment 2970640
Wewe ni kama Kima hivi. Nchi kubwa iliyo na resources nyingi haiwezi ikajiunga na nchi nyingine. Kanchi kadogo katakua more willing kujiunga na nchi nyingine. Ndio maana nakwambia kama Zanzibar Sultanate ingekuwa na ukubwa iliyokuwa nayo haingekuwa na motivation ya kujiunga na Tanganyika maanake wangekuwa na kila kitu including security.Wewe ndio huelewi sababu za wao kujiunga na Tanganyika wala si ardhi!