Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndio ubaya wa kuwa na ubongolala. who told you that development of a city is measured by its area in square kilometres? The mighty New York has a small area in square kilometres than Dar but does that make Dar a more developed or advanced city than New York? saa zingine mnatia aibu sana. If that's the case mngekuwa mbele ya New York a million times. Dar could have a big land area but it's just one slummy area with nothing outside the cbd.
na hio ndio kitu kinawarudisha sana nyuma kimaendelea kupiga mahesabau ya first world countries,😀😀😀😀
wewe uko poor country unajipigia hesabu sawa na rich country, tuliza akili
 
Kwanza niletee link inayoonesha GDP ya dar, mwanza na arusha alaf tuanze hapo

Ikiwa GDP ya nairobi ni 40 inamaanisha sehemu zote zilizobaki kenya zina share 15 iliobaki sawa😀😀

Alaf ngoja nikupe history kidogo ya mwanza, wewe nafkiri mwanza unaichukulia juu juu, hakuna sehemu ni rich in minerals like gold and diamond kama mwanza na migodi yote mikubwa iko mwanza, panua mawazo ipasavyo
View attachment 642303
Haha 75-40= 35
 
Mm ntakupa lecture ndogo sana ukubwa wa dar urban city is 1590 km sq, so

Nairobi = 696 km sq
Msa = 260 km sq
Kisumu = 110km sq
Nakuru = 50km sq
Eldoret = 30km sq

So add those figure tuone unapata ngapi dhidi ya dar
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Remb numbers dont lie
Tatizo nyir watanzania hamna exposure wala uelewa sahihi wa mwambo. Dar ni kubwa sana area-wise lakini ni city ambayo kwa sehemu kubwa ni slams na squatters kama zile za hapo kwa mnyamani. Sasa japo namba hazidanganyi nakufahamisha tu New York City inaukubwa wa jus 784km sq.

Hii inaifanya dar iwe twice the size of NYC. But does it make Dar any better than NYC in any aspects? Jibu ni hapana.

Dar bado sana kwa Nairobi japo hamtaki kukubali huo ndiyo ukweli
 
Rhapsody at The Luminary
a5a27eaf51ba6dd6d7e24a081078f234.jpg

1b076e6f43a934f4ff5452cbd8a5ca77.jpg
 
Tatizo nyir watanzania hamna exposure wala uelewa sahihi wa mwambo. Dar ni kubwa sana area-wise lakini ni city ambayo kwa sehemu kubwa ni slams na squatters kama zile za hapo kwa mnyamani. Sasa japo namba hazidanganyi nakufahamisha tu New York City inaukubwa wa jus 784km sq.

Hii inaifanya dar iwe twice the size of NYC. But does it make Dar any better than NYC in any aspects? Jibu ni hapana.

Dar bado sana kwa Nairobi japo hamtaki kukubali huo ndiyo ukweli
Kinyungu
Newyork ni developed city ilo halihitaji kumueleza mtu,lakini nai inahitaji maelezo mengi san mtu akuelewe
 
Tatizo nyir watanzania hamna exposure wala uelewa sahihi wa mwambo. Dar ni kubwa sana area-wise lakini ni city ambayo kwa sehemu kubwa ni slams na squatters kama zile za hapo kwa mnyamani. Sasa japo namba hazidanganyi nakufahamisha tu New York City inaukubwa wa jus 784km sq.

Hii inaifanya dar iwe twice the size of NYC. But does it make Dar any better than NYC in any aspects? Jibu ni hapana.

Dar bado sana kwa Nairobi japo hamtaki kukubali huo ndiyo ukweli
Yaani unanichekesha sana Guangzhou 3,843.43 sqr KM. Sasa unayesema una exposure unajua Guangzhou sasa inaifunika vibaya NYC?
Halafu ulivyo mfinyu wa mawazo Unataka kufananisha Nairobi na NYC!!? Dar inaelekea kuwa Guangzhou of TZ.
 
Tatizo nyir watanzania hamna exposure wala uelewa sahihi wa mwambo. Dar ni kubwa sana area-wise lakini ni city ambayo kwa sehemu kubwa ni slams na squatters kama zile za hapo kwa mnyamani. Sasa japo namba hazidanganyi nakufahamisha tu New York City inaukubwa wa jus 784km sq.

Hii inaifanya dar iwe twice the size of NYC. But does it make Dar any better than NYC in any aspects? Jibu ni hapana.

Dar bado sana kwa Nairobi japo hamtaki kukubali huo ndiyo ukweli
hvi wakenya hua munaakili timamu hamuwez kutoa mfano wa mji iliokwisha endelea na mji unaoendelea tofautisha mada hapo, ndio maana hua nawaambia dar es salaam ni mji mkubwa sana tena sana kwa nairobi hata kimajengo dar ina majengo mengi sana 😀😀😀😀😀😀😀 unaposema dar bado kwa nai unatakiwa utoe vigezo sio maneno😛😛 ili nasisi tutoe vigezo kukwambia nai bado sana kwa dar
 
Hii utangoja sana Labda ujitafutie, uiweke hapa alafu kama kawaida wakimbie hapa na povu wakibadilisha goal posts.
mwenzako kaona beach hotels pagumu kaamua kubadilisha gear angani😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Naona umevaa rinda.
Rinda ndio kitu gani. Au unaona watu wanaandika tu na wewe umeamua kuandika pasipo kuelewa maana yake? Rinda huwa halivaliwi. Ninaweza kukupa somo. Marinda ni mikunjo mikujo ya kwenye nguo ili kuifanya nguo ibane vizuri.
Wakati mara nyingi marinda hushonewa kwenye kiuno ili kuifanya nguo itanuke na kukaa katika shape yake.

Sasa unaposema mtu amevaa rinda utakuwa unamaana gani?
 
na hio ndio kitu kinawarudisha sana nyuma kimaendelea kupiga mahesabau ya first world countries,😀😀😀😀
wewe uko poor country unajipigia hesabu sawa na rich country, tuliza akili
I stopped arguing with you loooooooong time ago because you don't have content and your reasoning is wanting. Wewe bora tu umefungua mdomo na kuongea. Haunanga point siku zote
 
Rinda ndio kitu gani. Au unaona watu wanaandika tu na wewe umeamua kuandika pasipo kuelewa maana yake? Rinda huwa halivaliwi. Ninaweza kukupa somo. Marinda ni mikunjo mikujo ya kwenye nguo ili kuifanya nguo ibane vizuri.
Wakati mara nyingi marinda hushonewa kwenye kiuno ili kuifanya nguo itanuke na kukaa katika shape yake.

Sasa unaposema mtu amevaa rinda utakuwa unamaana gani?
Am sorry, funga lesso sasa.
 
I stopped arguing with you loooooooong time ago because you don't have content and your reasoning is wanting. Wewe bora tu umefungua mdomo na kuongea. Haunanga point siku zote
Because you argue like a kid.
 
Hizo picha utangoja hadi uchoke, we ngoja matusi.
wanaishingi wengi kama wamefinyana finyana....lol.utadhani ni kongamano.......their towns are mostly at the mercy of government and not expansive..........
 
Back
Top Bottom