Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,156
- 9,577
Vile wanafuatilia Kenya they can’t fail to know Kenyan companies.Naona unajua kampuni za Kenya sana.
Liandike hilo neno kwa Kiswahili sanifu maanake nimekuona ukililalamikia sana.Andika kikuyu ama kikamba we kenge kila siku nakuambia usituharibie lugha yetu.
unakuanga>>>> unakuwa.Liandike hilo neno kwa Kiswahili sanifu maanake nimekuona ukililalamikia sana.
Vipi wabongo wakisema unakuaga unaona kama wako sawa?unakuanga>>>> unakuwa.
mnakuwanga>>> mnakuwa
Hawa nyang'au wanaongea kama vile wana ugonjwa wa mafua. Eti unakuanga, ha ha ha😎unakuanga>>>> unakuwa.
mnakuwanga>>> mnakuwa
Sio mnakuaga, ni huwa mnakuwa.....Vipi wabongo wakisema unakuaga unaona kama wako sawa?
Kwa hivo unakubali Wabongo hawakijui Kiswahili?Sio mnakuaga, ni huwa mnakuwa.....
Wewe Nguruwe pori umepata wapi mamlaka ya kuhoji watanzani kuhusu kiswahili?Kwa hivo unakubali Wabongo hawakijui Kiswahili?
Mimi nimetokea Lamu, hivi kati yangu na wewe Mnyamwezi nani Mswahili.Wewe Nguruwe pori umepata wapi mamlaka ya kuhoji watanzani kuhusu kiswahili?
Nguruwe toka Lamu kwenye usafiri wa Donkey siyo?Mimi nimetokea Lamu, hivi kati yangu na wewe Mnyamwezi nani Mswahili.
Toyota Land Cruiser, Toyota Hilux, Toyota Hiace na Toyota Fortuner zote zinakua assembled at AVA Mombasa.
View: https://x.com/anj_116_/status/1687104356364292097