ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,160
- 3,362
Mwaka huu tu wamepata ajali za helicopter zaidi ya tano, waache kununua mitumba kwa wazungu. ðŸ˜Wajaluo watalalamika. RIP Ogolla. Sasa hawa nyang'au si walisema wanaongoza kuwa na helicopter nzuri Africa nzima?