Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Machine ni nickname yake bongolala kama hiyo ndio inakusumbua. Huoni hata imekuwa quoted? Umewahisikia mzungu anaitwa Onyango?
Wew matako huyo jamaa ni muingereza si mkenya, amezaliwa muingereza.. nataka unieleze ukenya wa huyo mchezaji ni upi
E.? 😂😂😂
 
Taylor Onyango is a Kenyan you idiot.
Ila we fala tuoneshe uraia wake. Maana wetu tukiwa nao unasema ni wairan ni foreigner.

Tuoneshe official website inasema

Origi ni mkenya
Tayloe Onyago ni Mkenya?

Maana vyombo vyote vinasema mmoja mbeligium mmoja mwingereza
 
Mavi ya kale hayanuki. Hatutaki habari zilizopitwa na wakati. 😂😂
African footballers who earning big currently. Where is Tanzania a football nation!?
Screenshot_2024-04-17-19-22-49-53_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Muarabi tena sio Muiran?

Mwafrika wa wapi? Si wa Uingereza. Kwa hiyo Rashford sio mwafrika.

Wazee wa double standard. Mna somo la uraia huko kwenu kweli?

Na aliyewaambia ni Africa tu kuna blacks nani?
Mkisema Kenya shamba zinamilikiwa na Wazungu hilo somo la uraia huwa mmelisahau ama vipi?
 
Back
Top Bottom