Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ina kiti hata kimoja tu chenye it's of this quality.? 👇
chamazi_2(1).jpg
Hizo takataka huezilinganisha na hizi quality seats. Hizi huezipata hata huko Makwapa Stadium.

1713380570898.png
 
Nimekuacha ili watu waendelee kuona upumbavu wako shamba boy 😂😂😂
Naona umekubali kushindwa. Hakuna vile unaezalinganisha that Azam grazing field with better stadiums like Ulinzi, Mamboleo, Kirigiti, Kinoru, Dandora stadium.
 
Kibanda stadium
277783873_2125874600901989_5960635858025927987_n.jpg
This thing is very ugly, ati CAF standard😂😂😂.

Alafu iko na seats 52 pekee which i guess ni ya viongozi, the remaining people wote kwa nyasi hadi players😂😂
 
📌📌📌🔨 Bado hujasema Hadi useme.

Vipi 2025 anagombea au hagombei? 😂😂😂
Siasa hazina guarantee, siku moja ni ndefu sana kwenye siasa. Kwa upigaji unaoendelea nchini bila uwajibikaji sidhani. Ripoti mbili za CAG zimepita bila hata kujadiliwa bungeni zote zikigubikwa na upigaji wa hatari.

Amefeli pakubwa.
 
Ulinzi Stars
Police FC
Bandari FC

Tanzania ni Azam pekee.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hakuna hata team moja Kenya inamiliki kiwanja cha kufugia kuku wachilia mbali cha kachezea mpira
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hakuna hata team moja Kenya inamiliki kiwanja cha kufugia kuku wachilia mbali cha kachezea mpira
Ulinzi Stadium ni ya nani?
Polce Sacco Stadium ni ya nani?
 
Ulinzi Stadium ni ya nani?
Polce Sacco Stadium ni ya nani?
Ulinzi stadium ilijengwa na Nani?? Unamjua aliejenga au nikuoneshe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hakuna team inamiliki uwanja wa mpira Kenya hakuna na haitatokea ofisi Tu hazina itakua uwanja wa mpira
 
Ulinzi stadium ilijengwa na Nani?? Unamjua aliejenga au nikuoneshe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hakuna team inamiliki uwanja wa mpira Kenya hakuna na haitatokea ofisi Tu hazina itakua uwanja wa mpira
Ulinzi Stadium Ilijengwa na KDF, Ulinzi Stars ni ya watu gani? Ama hujui Ulinzi stars ni timu ya wanajeshi?😂😂
 
Back
Top Bottom