Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakuongezea; pia Wajaluo (My beautiful tribe)wapo wengi sana Mikoa ya Kanda ya ziwa.........kwa experience yangu ninawafahamu Wajaluo wa Kenya wanaokuja Tz ili wapate unafuu wa maisha
Wajaluo wa Tanzania ni wenyeji, sio wageni as you imply. It's even sad unasema wanakuja kutafuta unafuu wa maisha wakati ombaomba wenu wamejaza mitaa zetu
 
Usiwe na hasira Mr. Guesthouse Ulale. Tutaendelea kuinvest Tanzania Hadi tuwe number 1 investor.
Angalia mwelezaji Mjerumani ana hoteli moja tu Kundustan huku Zanzibar ana four 5 star hotels.

IMG_0172.png
5 star hotels!

IMG_0172.png
 
Back
Top Bottom