Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zanzibar
20240412_062007.jpg
20240412_062000.jpg
20240412_061957.jpg
20240412_062003.jpg

My Take: Sio sawa kuacha maeneo mazuri yenye beaches na natural vegetation kama haya kujengwa makazi ya chini na ya kawaida.

Bora Serikali ya Zanzibar iyatwae wawajengee watu flats na kuwapa wawekezaji walete pesa.

View: https://twitter.com/mhdhamad/status/1778407134952059290?t=MLrGbTHyhxdtqxi2A9dQHw&s=19
 
Tofauti ya mtanzania na mkenya ni kubwa sana hasa kwenye matumizi ya akili, wakati serikali ya Kenya inapitisha mpaka miezi 9 bila kulipa madaktari, serikali ya Tanzania inafikiria njia tofauti ya kupata kipato cha ziada kuboresha maslahi ya wafanyakazi

View: https://youtu.be/B6k2f0WdjhA?feature=shared

View: https://twitter.com/KenyaInsights/status/1777660348759249072?t=eDPHAc9vCFNiq8RatqdOVQ&s=19

Ndio maana wakaitwa failed state, hilo jina linawafaa sana.
Daktari ni mtu muhimu sana kwenye nchi sasa inakuwaje huzingatii masilahi yake!
 
Zanzibar
View attachment 2961224View attachment 2961225View attachment 2961226View attachment 2961227

My Take: Sio sawa kuacha maeneo mazuri yenye beaches na natural vegetation kama haya kujengwa makazi ya chini na ya kawaida.

Bora Serikali ya Zanzibar iyatwae wawajengee watu flats na kuwapa wawekezaji walete pesa.

View: https://twitter.com/mhdhamad/status/1778407134952059290?t=MLrGbTHyhxdtqxi2A9dQHw&s=19

Wàh this Island is overrated.
Ukitoka kwa hotels ni ushago tupu.
Poor roads everywhere.
 
Back
Top Bottom