Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana wakaitwa failed state, hilo jina linawafaa sana.
Daktari ni mtu muhimu sana kwenye nchi sasa inakuwaje huzingatii masilahi yake!
Kunyaland ina matatizo mengi sana kushindwa kulipa madaktari miezi 9 mfululizo sishangai sababu nothing works there ndio maana biggest slum in the world ipo hapo naislum inahudumia watu million 4

Screenshot_20240412-104149.jpg



View: https://youtu.be/6rIV8TlrbLQ?si=PzoL6lkYsPg9uOgO


Meanwhile worst part of Dar


View: https://youtu.be/29yUy6lB8tg?si=L-YgO78GW54lqFo2
 
Hivi hawa wakandarasi wa BRT Phase 4 na 5 wanafanya kazi gani? Mbona sioni progress yoyote ya maana miezi 6 sasa? Toka kaweka mawe yake barabarani kapotea kabisa…..namna gani hii?
 
Back
Top Bottom