Wewe ni kama hujawai ingia 5* hotel. Wewe ni wale majamaa wa guest house. ratings za Booking.com ni customer rating. Meaning hata wewe ukifungua kihoteli chako uchwara hapo Tandale na ukiweke Booking.com na ukuwe na service nzuri relative to cost utapata 5* rating lakini ni kama wengi wenu humu ni mafukara hamuelewi jinsi hoteli za kifahari zinavyo-operate. Meanwhile, umepewa simple task, list hizo hoteli za Zanzibar, umepoteza muda mwingi ukiandika maparagraph yet list ni kitu cha mara moja tu meaning hata wewe ndani unajua Zanzibar haiwezi fikia Nairobi kwa 5* hotels ila unabisha tu.