Mm situmii rocket science kukujibu ila nakujibu na evidence ndogo Sana na kama hujaelewa nenda kadai pesa yako shuleni kunguni wewe😆😆👇You haven't answered my question.
Kwasababu Tanzania imepokea watalii 1.8m wakat nyinyi munasema mumepokea 1.9m SASA nashangaa kuona Tanzania imekusanya 3.41b USD wakat Kenya imekusanya 2.7b USD, au nahili pia unahitaj uwe na rocket science??🤣🤣🤣🤣🤣
Unless unambie mumepika data mayb mumepokea 1.2m munadanganya mumepokea 1.9 then hapo ni sawa 😆😆😆 na sitoshangaa kwasababu ni kawaida kwenu
Kunyan washukuru sana kupakana na sisi,maana katika nchi 8 tulizopakana nazo wao ndio wanatutegemea zaidiAsanteni kwa kuleta pesa zenu👇👇
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1775922145140298088?t=1HJb24u06P--GNWDILHzOQ&s=19
Picha ya 2016Kumbe hata huu uwanja wao pendwa pia limezungukwa na uswazi. I had no idea😂😂😂
Inasikitisha kwamba AFCON itachezwa uswazini 2027
View attachment 2954794
Hiyo ni picha ya last week walichopost Klabu ya Al Ahly ya Misri walipokuja kuwatandika Simba wenu asiye na menoPicha ya 2016
Tunaingiza 2.7 billion bila game hunting kama nyinyi.Alaf Tanzania inaingiza 3.41b USD wakat nyinyi munaingiza 2.7b usd inamaanisha watalii wengi wanaokuja Tanzania ni watu wenye pesa na wanatumia pesa zaidi kuliko Kenya, VP hii iko clear??🤣🤣🤣🤣🤣
Bongolala, stop forcing issues. Sheria za Kenya haikubali ununuzu wa magari which are more than 8 years. Hata ulie ukipanda mlima Kilimanjaro lakini huo ndio ukweli.Hata Sisi tunaona ni Bora kuliko Ile ya tandale au sio 😅😅😅😅😅😅 gari ina umri sawa na Uhuru Kenyatta bado inabeba mafuvu yenye makomwe kama school bus na bado iko barabarani alaf Sisi Nye Nye Nye
View attachment 2954652View attachment 2954653
Ingekuwa nyang'au wanakula hizo nyavu za kijani ningekuelewa😎😎😎Eastleigh is on steroids. It needs to slow down!!
Green nets everywhere you look
View attachment 2954831View attachment 2954833
Kule Dar is slum, jengo moja la ghorofa kumi or below likionekana linajengwa mahali midanganyika hushikwa na nyege na kuleta taarifa humu wakati sisi huku kwetu tumechoka kuona green nets tena ni jambo la kawaida sana
Huu uchafu ni nini kama sio uswazi?Hee! Inaonekana hujawahi fika bongo eti Uswazi?
Bado hujajibu swali.Mm situmii rocket science kukujibu ila nakujibu na evidence ndogo Sana na kama hujaelewa nenda kadai pesa yako shuleni kunguni wewe😆😆👇
Nanyi pia mngekuwa mnakula zile nyavu mbili ama tatu mnazopost humu whenever you come across a few buildings under construction in Dar ningekuekewa. Lakini Kwa sababu ni wivu za kike, kanyaga polepole ukisongaIngekuwa nyang'au wanakula hizo nyavu za kijani ningekuelewa😎😎😎
🤝Alafu wanatakiwa wajifunze namna ya kupenda vya na kuvifanya viwe special. Dj ALLYB ni mtanzania wala hafanyi kazi hizo nje ya nchi ona tunavyomthamini na kukubali anachokifanya mpaka anakuwa star mkubwa hivyo.
Sisi ndio Tanzania tuliitikisa mpaka Aston villa wakajua sis ni kina nani.
I see Nyerere Ujamaa University on the left… 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Prove it kuwa walipiga picha wao last week au waliokota kwenye mitandao.Hiyo ni picha ya last week walichopost Klabu ya Al Ahly ya Misri walipokuja kuwatandika Simba wenu asiye na meno
Kule kibera wanaishi Nguruwe Pori siyo watu. Prove if kibera wanaishi watu.
Ningekuekewa ndio nini wewe nyang'au?😎....in Dar ningekuekewa....
mgonjwa matapikoNingekuekewa ndio nini wewe nyang'au?😎
Hiyo ni gari ya Kenya Power wewe bwegeView attachment 2954649
Hawa ndugu zetu hiyo Land cruiser imewakosea nini mbona ilikua fresh tu kupakia abiria ya nini kuforce iwe Bus?
Alafu kuna mpuuzi anakuja kusema Public Transportation wako mbele, si bora mara elfu nikomae na PAPAA FOLOLO 26 LIFE, na MANDALALA