Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania wanafurahia vitu wakenya walishafanya wakachoka nayo.

1711835746184.jpeg

1711836050490.jpeg
 
Ile video ya Bertin aliyopost juzi ikionyesha Upanga, alijitikeza huyu jamaa Teargas akidai eti aliona only 2 buildings under construction 😂😂😂😂 in fact mimi nimeiangalia vizur bila uvivu na nimeona kuna gorofa 10 au zaidi zenye ziko under construction. Nangoja ubishe tu, nidondoshe picha humu.
Ebu screenshot hizo gorofa 10 au zaidi uweke hapa. Don’t just comment for sake of commenting kibanda boy.
 
Ebu screenshot hizo gorofa 10 au zaidi uweke hapa. Don’t just comment for sake of commenting kibanda boy.
Mzee unahangaika tufane. Lakini haliwezi tokea. Endelea kujifariji.

Siku mbili tumeionesha dunia kuwa sisi ni nani.

Simba walijaza uwaji, Yanga walijaza uwanja. Mashindano ya Quran walijaza uwanja.

Tanzania ni ulaya yenu.
 
Back
Top Bottom