Simon mbona naona giza pembeni mwa stadium, ebu tuletee picha ingine ambayo haija-zoom Sana huo uwanja. Kuna kitu unaficha na tunakijua😃😃😃Wadau wote.
Nionyeshen picha kama hii ya usiku kutoka uwanja wowote wa kunyaland.. nifunge acc hadi mwakan
View attachment 2949370
Weka list ya top 10 tallest buildings Upanga nami niweke top 10 tallest Upperhill tuone wapi kuna vidunchu.Umeona upost gorofa moja moja we mkundu wako wewe 😂😂😂 , hivyo vi gorofa vingine vidunchu 3-5 floors buildings si ni takataka tu hizo, gorofa za udongo. 😂😂😂
Look at how the surrounding of Makwapa Stadium is dark. Can you compare it to this Kasarani aerial view?Wadau wote.
Nionyeshen picha kama hii ya usiku kutoka uwanja wowote wa kunyaland.. nifunge acc hadi mwakan
View attachment 2949370
Kwanini ule mchana mbele ya waliofunga; dharau au?Je unajua ni hatia kupatikana ukila hadharani wakati wa ramadhan kisiwani zanzibar.🤔 Venus Star unalionaje hili swala.View attachment 2949344
Unafanya utoto. Unafananisha mbingu na ardhiLook at how the surrounding of Makwapa Stadium is dark. Can you compare it to this Kasarani aerial view?
View attachment 2949396
Upanga kuna magorofa zenye urefu wa kati, many buildings ni over 15 floors. Sio hapo upperhill gorofa za urefu wa maana ni tatu au nne tu the rest ni 3-5 floors tena vile vi apartments vya udongo 😂😂😂 zoom in ujioneeWeka list ya top 10 tallest buildings Upanga nami niweke top 10 tallest Upperhill tuone wapi kuna vidunchu.
Hii takataka haiwezi ingia kwenye battle na Mkapa stadia mkuu,😂😂😂 subiri mumalize kujenga talanta ndio urudi hapa hopefully 2026Look at how the surrounding of Makwapa Stadium is dark. Can you compare it to this Kasarani aerial view?
View attachment 2949396
Makwapa Stadium has nothing over Kasarani. Tag me the day Makwapa will host any World Tournament.Hii takataka haiwezi ingia kwenye battle na Mkapa stadia mkuu,😂😂😂 subiri mumalize kujenga talanta ndio urudi hapa hopefully 2026
3.2km2 ndio unaita kubwa?Upanga kuna magorofa zenye urefu wa kati, many buildings ni over 15 floors. Sio hapo upperhill gorofa za urefu wa maana ni tatu au nne tu the rest ni 3-5 floors tena vile vi apartments vya udongo 😂😂😂 zoom in ujionee View attachment 2949410View attachment 2949416halafu upanga ni kubwa kinoma 👇View attachment 2949420hiyo upperhill ni kama ngapi hapo.? 😂😂😂
Kumbuka Makwapa iko hapo kando ya CBD wakati Kasarani ni 12km from CBD. Kumbuka pia CBD yao iko pembeni mwa mji yetu iko katikati mwa mji.Look at how the surrounding of Makwapa Stadium is dark. Can you compare it to this Kasarani aerial view?
View attachment 2949396
Mwambie buildings over 20 floors. Akuonyeshe tu kumi hapo Upanga.3.2km2 ndio unaita kubwa?
Haya, nipe list ya buildings za over 15 floors hapo Upanga nikupe za Upperhill tuone nani mbabe. Ndio hii area ya Upperhill
View attachment 2949459
Kwamba Mkapa ipo pembezoni mwa CBD .? 😂😂😂 I can also see that 👇Kumbuka Makwapa iko hapo kando ya CBD wakati Kasarani ni 12km from CBD. Kumbuka pia CBD yao iko pembeni mwa mji yetu iko katikati mwa mji.
Ukiwa Kasarani huwezi kuiona CBD hapa naona iko hapo ngámbo. Haiwezi zidi KM 4.Kwamba Mkapa ipo pembezoni mwa CBD .? 😂😂😂 I can also see that 👇View attachment 2949466
Kwanza running track ya Makwapa imekauka kweli kweli.Kumbuka Makwapa iko hapo kando ya CBD wakati Kasarani ni 12km from CBD. Kumbuka pia CBD yao iko pembeni mwa mji yetu iko katikati mwa mji.