Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umekuja hapa na copy-paste ndio uonekane mwelewa?!🀣🀣

Kama unaumwa sana na hiyo faifa ya KQ nenda kajinyonge.

Meanwhile...
View attachment 2945346
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Rudi kwenye Mada KAZI yangu nikupiga kwenye mshono
 
Tunataka Brazil sasa πŸ˜‚ πŸ˜‚ 😎
Next weekend, the world cross country championships in Belgrade .. the whole world there including surprisingly our southern neighbor… they are well represented by full senior teams…. At least they will leave with Participation trophyβ€¦πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
BBC is a news house. Kazi ya media houses ni nini if not reporting news happening in different parts of the world?
Hatujapata habari kama hio kutoka air Tanzania au serekalini πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na nimejaribu kufanya booking SASA hvi china IPO so?? Sipendi kukuumiza ila pole plz
 
Do you know what operating profit is? Ama wewe unatuma tu links sense hata hunting zinamaanisha nini?
Kwani Tanzania haikupata profit in operating cost ilipungusa loss within one year by 50% from 60b to 35b 🀣🀣🀣🀣 munaona ajabu wakat Sisi tushafanya

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1385870619141713921?t=Q1pmle-vbgfwcsNL38JIhQ&s=19

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1641033231863611392?t=UIbEcs5p0FGyMQNoHcWn_Q&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…