Sawa kwani kuna shida katika hilo?Poverty infested Tanzania inanunua ndege mpya cash ilhali kwenye budget wameweka kipengele cha grants (misaada) 😂😂 cha kima sh 5.47 trillions. No wonder tanzanians are the most dumbest nationality kwa sababu ya ill funded education sector. Kati ya dawati/daftari na ndege lipi muhimu. Alafu shirika lenyewe ni loss making halirudishi hata shilingi mojaView attachment 2945087
Hivi hii ni nini bro? 🤣 🤣Misaada ya chakula huko tulisha toka kuna misaada tunayo pokea sio chakula hatujazoea kupokea chakula kutoka nje
Heeeee!
Mbona unachekesha we jamaa??
Ngazi ya afisa tabibu sisi kwetu hatuna internship.
Sie tukitoka school twasajili leseni na kuingia kazini directly.
Waliosoma basic medicine(medical doctors) ama bachelor of medicine ndio wana internship.
Na wao wanalipwa wakiwa internship milioni moja na laki moja kwa mwezi ibadilishe kuwa dollar.
Pia kwangu mimi 400$ inanitosha kwa kuzingatia gharama za maisha ya Tanzania na thamani ya shilingi yetu.
850-900k tzsh mie ninafanya mahitaji na akiba kiasi naweka.
Usikute hiyo 70k kesh huyo jamaa haimmudu kwa gharama za maisha ya Kenya kuwa juu.
Maisha kwenu yana gharama sana ndio maana watu lazima wa demand pesa zaidi.
Rudi kwenye Mada Kwanza plz 🤣🤣🤣👇👇Poverty infested Tanzania inanunua ndege mpya cash ilhali kwenye budget wameweka kipengele cha grants (misaada) 😂😂 cha kima sh 5.47 trillions. No wonder tanzanians are the most dumbest nationality kwa sababu ya ill funded education sector. Kati ya dawati/daftari na ndege lipi muhimu. Alafu shirika lenyewe ni loss making halirudishi hata shilingi mojaView attachment 2945087
Wanakusanya hewa Tu KAZI kutengeza budget za uongo kila mwaka kujifanya Wana budget kubwa wakat kiuhalisia hakuna kitu chochote kinafanyika 🤣🤣🤣🤣🤣Sawa kwani kuna shida katika hilo?
Kenya mnakusanya kodi kutuliko ila bado mnakopa na hamuna mnachofanya,swali laja.
Je,kodi zinaenda wapi na mikopo mikubwa inaenda wapi!?
Maana hakionekani kinachofanyika kwenu licha ya makusanyo makubwa ya mapato mnayofanya kuliko sisi na mikopo mikubwa mnayokopa.
Unaona unavyojichanganya?Bro....umepagawa nini? Kuna mahali nimesema nyie mna internship? Mimi nimekwambia kwetu wanafunzi wanalipwa $530 na wanalalamika, kwenu walio kazini wanalipwa $400 na hawalalamiki................tofauti yenu na sisi ni expectations. You're more comfortable in your poverty.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wacha ujinga, Intern hawezi akalipwa $450 na mfanya kazi akalipwa $400 hata kama huyo mfanyakazi ni wa diploma.Unaona unavyojichanganya?
Mshahara wa 400$ ni wa ngazi ya diploma ya afisa tabibu.
Je wewe hao wanafunzi walio intern ni wa diploma ama degree??
Hata sisi internship ipo ila ni kwa wale wa bachelor degree na wao pia wanalipwa 450$.
Isiwe unalinganisha level mbili tofauti za elimu.
Embu nijuze hao intern wa level ipi ya elimu?
Maana hata sisi intern tunao ila sio sisi wa diploma.
Kuhusu umasikini tusidanganyane kaka Kenya mna gharama kubwa za maisha.
400$ kwa hela za ki-Tanzania ni sawa na laki tisa na kitu.
Kwa Tanzania laki tisa unafanyia mambo mengi ndugu yangu na ukijubajeti vizuri akiba unaweka.
Je kwa hiyo elfu sabini ya ki-Kenya unaweza ukamudu mahitaji kiutoshelezi??
Pia sie unapofanya kazi ndani ya miaka mitatu mpaka minne unapandishiwa mshahara,huwa haubaki vile vile.
Inshu sio kuridhika na umasikini wetu bali inshu mshahara wetu unaendana na gharama zetu za maisha.
Je Kenya iko hivyo?
Watakwambia tow tractor iko garage 10yrs ago 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Other countries Airport tow tractors
View attachment 2945119
KUNDUSTAN Airport Tow tractor ( Hili si la enzi za Kilimo Kwanza 😂😂😂😂
View attachment 2945120
Kioo pia ni technology?🤣🤣👆🏾Kundustan mtafika lini level hizi?
View: https://www.instagram.com/p/C4-dEwcNc-4/?igsh=ajI0cm15NXM0YThh
Kioo ni nini mzee according to you kibera walkerKioo pia ni technology?🤣🤣👆🏾
Wewe Looser unadhani ni nini hiyo? Kaweke Cha mkeo tuone kama kitfanya hiyo kazi.Kioo pia ni technology?🤣🤣👆🏾
Sawa mzee wa technology ya kioo. 🤣 🤣 🤣Wewe Looser unadhani ni nini hiyo? Kaweke Cha mkeo tuone kama kitfanya hiyo kazi.