Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa si wanajileta ulitaka tukatae? Nyie Kundustan mtajipendekeza wewe ila bila bila
 
Sasa si wanajileta ulitaka tukatae? Nyie Kundustan mtajipendekeza wewe ila bila bila
Hadi kwa budget mmeandika part of the funds will come from aid na bado unasema wanajileta?🀣🀣🀣 Bro, stop living in denial. Tanzania is a poor country. Dirt poor. You and your Bongolala brothers on this forum have convinced yourselves Tanzania is rich and you keep lying to yourself. Huyu hapa Rais wenu akiomba EU msaada Hadi anatia Saini. Fungua link


 
Kwani Kundustan hampati budget support kutoka Kwa Bwana zenu?
 
Kwani Kundustan hampati budget support kutoka Kwa Bwana zenu?

You're the ones denying that you get aid. Sisi hatujawai kataa eti tunapata msaada. Nyingi ndio maskini jeuri mnajiona matajiri wakati Ni hohehahe hata kutushinda.🀣🀣🀣

Anyway, nimefurahi at last umekubali nyie ni ombaomba.🀣🀣
 
Acha kuweka magoli mapya Kila mara,hoja yangu ni kwamba Wazungu wanajileta sio kama Kundustan mnaenda kujipendekeza.
 
Acha kuweka magoli mapya Kila mara,hoja yangu ni kwamba Wazungu wanajileta sio kama Kundustan mnaenda kujipendekeza.
Umesema wazungu wanajileta, nikakuletea proof mkiwaomba msaada, ukageuza mjadala ukauleta Kenya kwa kuuliza kama sisi hatupati msaada. Kati yangu Na wewe nani amegeuza magoli?🀣🀣🀣
 
Umesema wazungu wanajileta, nikakuletea proof mkiwaomba msaada, ukageuza mjadala ukauleta Kenya kwa kuuliza kama sisi hatupati msaada. Kati yangu Na wewe nani amegeuza magoli?🀣🀣🀣
Tungekuwa Tunaenda kuomba Msaada tusingeweza kujenga hizi mega projects hapa πŸ‘‡

Zanzibar Airport Expansion

View: https://youtu.be/p0nKJTCsfG0?si=asdnjwdCOB_SNOfS
Longest and modern electric SGR in Africa

View: https://youtu.be/vY1cH1_U0q0?si=DZLlFwxpUWQ1WUaT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…