Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another medal for Kenya Volleyball Team.

Which Sport is Tanzania good at?

View attachment 2942814
You know we won African championship to qualify for Olympics in Paris… so we sent young ones to experience the thrill and gain exposure and they still won a medal… Kenya 🇰🇪 is full of talent… Even most of our track stars are missing in Accra … they opted to give new ones an opportunity and they are doing great representing…. The superstars are focused on the Olympics….. Kenya is a giant of Sports….🦾🦾🦾
 

1711240111622.png
 
Hizi figures mlitoa wapi? Instagram? Kama hawajui hata jina ya stadium, watajua aje cost 😂😂
Hatuwezi kutaja jina la uwanja wakati nyie mumeficha taarifa itakuwa ni kuingilia mambo ya Nchi nyingine.

Ndio maana tumewapoteza maboya Ili mjiongeze,Kwa akili zenu za kipumbavu unadhani bei hazijulikani? 😂😂😂😂
 
Hawa wapumbavu kwa kujipa umuhimu hawajambo kwa kila kitu cha bongo kizuri, Kwamba uwanja wa Arusha ni pressure ya Kenya?

Imagine inafahamika AFCON itafanyika na plan ya uwanja ilikuwepo kabisa. Alafu anatokea kenge anajipachika umhimu.

Mnaikumbuka SGR walisema ni pressure, sawa pressure ya KM 1000?

Toka ijengwe hatuwaoni wanatuletea vile vituo vya Shaolin temples.

Kama wameisahau vile.
 
Utasikia Magufuli alifia Kenya like WTF? Na wanashikia bango? Na mijitu isivyo na aibu si ingemuumbua.

Utasikia Kilimanjaro We have the Best View eeh? 🤣🤣🤣🤣

Wanaoupanda hawaoni view mpaka waende Kenya, na hiyo picha wanayolingia unakuta imepigwa Arusha.

Mijitu ya ovyo kabisa
 
Utasikia Magufuli alifia Kenya like WTF? Na wanashikia bango? Na mijitu isivyo na aibu si ingemuumbua.

Utasikia Kilimanjaro We have the Best View eeh? 🤣🤣🤣🤣

Wanaoupanda hawaoni view mpaka waende Kenya, na hiyo picha wanayolingia unakuta imepigwa Arusha.

Mijitu ya ovyo kabisa
Ukikutana na mkenya sehemu yoyote siyo kuweka mazoea naye ni kumpiga sana tu. Hata akianza kujipendekeza hakuna mazoea kwa watu hao. Wamelelewa hivyo kuishi maisha ya uongo.
 
Alafu tunachopost Bongo humu, ordinary citizens wanaweza kukiaccess tena bila shida wala mbamba nyingi.

Ila huko wanachotupostia na hatuoni kwa ground, inshu ya mabasi tuliletewa Ena na wengine ila ukiingia kila video ya kikenya mjini kila uchwao huzioni full makarai na ngara ngara.

Mtu anashabikia render anakupa picha gani? Na now render imepotea kabisa.

Apartments kwao ni mpango mzima huwaambii kitu, mtu akianza ishi kwa apartment anaona ameyapata.

Ila Bongo apartments ni nyongeza tu ya kua karibu na shughuli zako mjini, kuwa na Mji wako ndio heshima kubwa. Yaani ile feelings unatoka nje unakagua mji wako asikwambie mtu.

Ila huku tunapigiwa kelele weee. Utaambiwa USA, EUROPE zinazo.

Ila ukienda cheki mostly wanakaa expatriates, na wageni.
 
Back
Top Bottom