Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najiuliza kodi huwa wanapeleka wapi hawa jamaa!?
Sipati jibu kabisa,kodi za raia wa Kenya zinatumikaje aisee!?
Kodi wanakula kina zakayo haya ******* ya humu yamebaki kuomba foreigners wawajengee, na mchina keshayajua haya ******* hayana pesa kwahiyo chochote yanachotaka atayapa mana anajua kitazalisha mara 100 ya uhalisia, makenya hayana akili kaka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hakuna kitu wanachoweza kujenga kwa pesa yao hawa watu.
 
''Kiswahili haujui na kiingereza haujui'' 😂 😂 😂 Yako ndio sanifu sio. Nyani haoni kundule. 😂 😂 😂
Kwamba umenisahihisha au.? 😂😂😂. Nimekwambia wewe hauna unachojua, hata writing skills yako pia ni mbovu 😂😂
 
Najiuliza kodi huwa wanapeleka wapi hawa jamaa!?
Sipati jibu kabisa,kodi za raia wa Kenya zinatumikaje aisee!?
Kwanza tueleze kwanini 40% ya budget yenu ni misaada. Jibu ni kwamba zile vipeni mnakusanya mnanunua ndege na treni za mtumba ambazo hazina faida kwa wananchi. Ni sawa na mtu anaenunua gari alafu analala njaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…