mafala hawa wao hawajui uwanja bora unahitaji nini.
Hajui hata FIFA series ni niniπ€£π€£π€£π€£Je, na nyie mnashiriki FIFA series?
Kumbe huyu malay.a anatumia π mbili π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mimi Kinjekitile Saba akisema ananiona bora kuliko wengine ndio nitajidharau zaidi. Yani sifa kutoka kwako ni kama tusi. Heri unione mjinga kuliko unione bora maanake mjinga huona wajinga wenzake kuwa bora.
Wacha nikuache. π π πKatizame benchi la ufundi,vyumba vya kubadilisha nguo,mabafu,vyumba vya tiba,vyumba vya kupumzikia.
Je Talanta inavyo vyote hivyo!?
Maana Muhammad V inavyo vyote hivyo.
Sawa. πππOna ulivyo fala.
Nimesoma Talanta itakavyokua toka vyombo vyenu vya habari hakuna sehem ya V.A .R.
Usije ukawa haujui maana ya V.A.R
Uwanja una goal-line technology alafu ukose VAR room? Nyinyi watu huwa mnanifurahisha sana. π€£ π€£mafala hawa wao hawajui uwanja bora unahitaji nini.
Wanashikilia viti tu vya kukaa.
Endelea kusifia render.Wacha nikuache. π π π
Tuoneshe hiyo goal line technology hapo Talanta.Uwanja una goal-line technology alafu ukose VAR room? Nyinyi watu huwa mnanifurahisha sana. π€£ π€£
Mwambie akuoneshe hata kwenye render tuπ€£π€£Tuoneshe hiyo goal line technology hapo Talanta.
Endeleeni kuumia. π€£ π€£Tuoneshe hiyo goal line technology hapo Talanta.
VIazi hawa.Mwambie akuoneshe hata kwenye render tuπ€£π€£
Ngojea uwanja ukamilike ndio tuongee.Endeleeni kuumia. π€£ π€£
Talanta ina render mbili sijui π€£π€£π€£π€£π€£π€£VIazi hawa.
Tena viazi vya futari na tambi kabisaπππππ
Hii talanta inapewa sifa nyingi hata haijakamilika.
Tupo hapa ngojea tuone aisee itavyokua hiyo Talanta.
Unaskia uchungu ukiwa wapi? Hii negotiation stage yako imekawia Sana.π€£π€£Ngojea uwanja ukamilike ndio tuongee.
Msitukane mamba angali hamjavuka mto.
ππππππππ€π€π€π€ Ngoja nifuturu tuongee vizuri.Unaskia uchungu ukiwa wapi? Hii negotiation stage yako imekawia Sana.π€£π€£
Nilichelewa huu mjadala πππ sasa mbona hiyo talanta ni kitu yenye haipo.? Kwahyo sikuhiz tumeanza kulinganisha ndoto za kenya vs mafanikio ya Tz .? πππWewe proof yako wenu unalingana na Talanta iko wapi?