Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

TUMIA AKILI ...trains can be changed anytime...the rail will stay for hundreds of years...punguza wivu pia...ama utuoneshe hio yenu ya umemeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€leta picha tuoneπŸ˜€πŸ˜€
Deni la watu hamujalipa munawaza electric trainπŸ˜€πŸ˜€
Nasafarii hii mchina kawashika kwenye makendeπŸ˜›
 
northern Kenya yote ni kavu...tz on the other hand, is not...ila tumewashinda kiuchumi...inatia aibu sana jinsi mlivo barikiwa na rasilimali aina mbali mbali ila mpo tu LDC...yaani tofauti ynu na DRC hamna
That was the past.. Corruption and all that.. Lakini sasa HV tuna Magufuli wait 2025 mdomo utakuanguka[emoji23][emoji23] sababu sasahv nchi za EA karibia zote zimeibana Kenya haina pakutokea.. Ndomaana Uhuru anaanza kusema yoyote anaetaka kwnd Kenya aende.. HATUJI NG'OO[emoji23][emoji23] unataka tufanywe km Wafuasi Wa Raila
 

fala flani nimemuitisha picha za reli akaniletea hii hapa...jamaa karibu kumi wanajifunza kutumia nyundo na msumari
 
East Africa sio watz pekee...mbona una kurupuka? ..mje msije kuna waafrika mashariki wengine wamejaa huku nyie kaeni huko mpambane na umaskini
 
Sometimes nachukia viziara uchwara kwann hawajiamini ?
Baba saiv sio poa[emoji23][emoji23] wanalala kwny vitanda vya Kamba ili wasije wakapitiliza usingz.. Sema hawana jinsi media ziko nyuma yao kila wanachofny lzm kirekodiwe
 
hebu tuonyeshe hiyo Kenyatta family land
 
Ahead of gari moshi???? SeriousπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nilifkiri mutaeka history kwenye SGR kumbe mumeenda kurudisha train za 80s ama kweli aliweroga kafa
Weka hapa ya Tz 2017 tulinganishe na ya Kenya 1980.
 
huwa ni msaada au ni biashara inafanyika?
 

fala flani nimemuitisha picha za reli akaniletea hii hapa...jamaa karibu kumi wanajifunza kutumia nyundo na msumari
Kumbe Kenya illiteracy rate ni kubwa kiasi hili[emoji23][emoji23][emoji23] Aibu kubwa.. Haya hujui kusoma hata picha huoniii?? Uje nikufundishe Kiswahili ndugu unatia aibu
 
Ni chakula cha msaada ama ni cha kuwauzia waKenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…