Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mh Balozi wa Jamuhuri ya watu wa China katika Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh Chen Mingjian Kashasema
FAINALI itatandikwa hapa, 不相信你去死吧 😂 🤣 。
In sports like football, that "finals" means the main competition.
Yan fainali za kombe la AFCON.

Kuna qualifiers, sijui playoffs na finals (main)
 
Kumbe wewe pia unakuanga na akili ndogo kama ya kunguni? The Chinese ambassador have only expressed her opinion and that opinion doesn't weigh any weight since is not the the organizer of AFCON.
Kizungu ndio balaa. All the AFCON games minus the qualification stages altogether are called AFCON Finals. Huyo anadhani Finals na The Final ni same thing. Msamehe.🤣
 
Kizungu ndio balaa. All the AFCON games minus the qualification stages altogether are called AFCON Finals. Huyo anadhani Finals na The Final ni same thing. Msamehe.🤣
As days pass by these witches keep on proving to us that indeed they are Primary School dropout. Sasa hiyo kitu simple inashinda huyo jamaa mchafu kuelewa.
 
Kwahiyo waache Tanzania kwenye motisha ya mpira waende Kenya kwenye ufinyu wa motisha na uamko wa mpira!!??
Kama uwanja wa 60k seats upo Benjamin Mkapa stadium.
Akii we ni fala.
Ju finals inahitaji motisha pekee? 😂 😂 😂
 
Why is Dar es Salaam ahead of Nairobi for development?
9. Mobile Network Operator
Tanzania (8): Tanzania Telecommunication Company Limited, Airtel Tanzania, Smart Telecom, Vietel Tanzania Limited (Halotel), MIC Tanzania Limited (Tigo), Vodacom Tanzania, SMILE, Zanzibar Telecom Limited (Zantel)

Kenye(4): Safaricom, Airtel (former Zain / Celtel), Equitel (MVNO), Telkom Kenya (Orange)

View attachment 2940154
Hakuna kitu mbaya kama blind patriotism ikitamba. Hupati hadi nafasi ya kureason na kujiuluza maswali muhimu.

Hivi bongolala, did you even do some vadic research on this before posting? Ama wewe bora tu uliona Tanzania has more service providers than Kenya then baaas!?

Did you ask yourselves how many people use mobile phones in your country compared to Kenya?

Did you ask yourselves how many people access the internet through their Mobile phones between these two countries?

Well just to let you know, with all those service providers in your country, only 70% of Tanzanians use mobile phones?
Screenshot_20240320-204715.jpg

And did you also know that smartphone usage in Tanzania only stands at 32% in comparision to 61% in Kenya?
Screenshot_20240320-204640.jpg

Screenshot_20240320-204900.jpg

These are the most important questions you should ask yourself, not the number of service providers.

You can have many service providers and some could be serving just a handful of people
 
Hakuna kitu mbaya kama blind patriotism ikitamba. Hupati hadi nafasi ya kureason na kujiuluza maswali muhimu.

Hivi bongolala, did you even do some vadic research on this before posting? Ama wewe bora tu uliona Tanzania has more service providers than Kenya then baaas!?

Did you ask yourselves how many people use mobile phones in your country compared to Kenya?

Did you ask yourselves how many people access the internet through their Mobile phones between these two countries?

Well just to let you know, with all those service providers in your country, only 70% of Tanzanians use mobile phones?View attachment 2940342

And did you also know that smartphone usage in Tanzania only stands at 32% in comparision to 61% in Kenya? View attachment 2940343

View attachment 2940344

These are the most important questions you should ask yourself, not the number of service providers.

You can have many service providers and some could be serving just a handful of people
Unatuletea survey za 2021. Are you stupid or something? How many people died since 2021?
 
Hata vilaza wenzako washakubali it's not a Toyota vehicle ila wewe bado unafosi! Your level of desperation is alarming!
Nani kakubali chizi wewe Toyota hiace unaita nissan na ushahidi nimekupa kabisa hapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tafuta mjuzi wa magari akufundishe kutofautisha gari kenge wewe
 
Kwahiyo waache Tanzania kwenye motisha ya mpira waende Kenya kwenye ufinyu wa motisha na uamko wa mpira!!??
Kama uwanja wa 60k seats upo Benjamin Mkapa stadium.
Akii we ni fala.
Fala ni wewe… No way CAF will expose Africa to that Tandale Uswazistan view… You will host the matches per 3 nation host principle… but Opening and closing ni Talanta .. ( the only true football stadium in East and Central Africa)…meza wembe…🤣🤣🤣🤣
 
Why is Dar es Salaam ahead of Nairobi for development?
8. Beautiful Modern Blue Buildings - Nairobi vichekesho
View attachment 2940147

View attachment 2940148
Beautiful morden buildings?

What's morden about them? Is it because they have blue cladding?😂😂

Well, modernity is a manifest, not self-proclamation.

If it's about modernity, I don't think there's any building in Tanzania that has ever been recognized globally because of its architecture

Kwa hivyo wawache stadium ya 60k capacity wachague ya 30k capacity. Enyewe critical thinking yako imeenda mteja. 😂 😂 😂
Imagine hii ilikua ufunguzi wa AFL 🤣🤣👇🙌
Rais wa FIFA alikiwepo
Rais wa CAF alikuwepo
Wenger alikuwepo
Colina alikuwepo
Viongozi wa FIFA na CAF walikuwepo
Mwenyekiti wa club zote Africa alikuwepo
Mmiliki wa TP mazembe alikuwepo
Mmiliki wa kaizer chief alikuwepo

Etc

View: https://youtu.be/AEBJ99gZdEs?si=ldx7gLZdgLjfE6OC

View: https://twitter.com/justicerutenge/status/1715424968601723146?t=-lc8OKnVgxpS9sGazibBRA&s=19

View: https://twitter.com/InnocentMw17293/status/1715297831760625682?t=EIKpMHhi8RmXGog4BoJKjg&s=19
 
Why is Dar es Salaam ahead of Nairobi for development?
5. Interchange Flyover - Nairobi zero

Kijazi Interchange Flyover
View attachment 2940119
Eti Nairobi flyovers na interchanges zero?😂😂😂

Sisiemu inakulipa shilingi ngapi jamani?!

Yani unasahau kabla hata mjue interchanges na flyovers ni nini Nairobi Nairobi already had them?

How many interchanges and flyovers are there in Dar by the way?

Yani wakati nyinyi bado mnakenua meno kuona barabara za juu hapo Dar sisi tumeanza kuzijenga vijijini na uko hapa kutoa povu
 
Tanzania is a Universal Donor in sports, they keep on donating points😂

ichoboy01 hii armature game mlitoka points ngapi? Na pia ujue Tanzania is bottom of the table.

Screenshot_20240320-205854_1.jpg
 
Back
Top Bottom