Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You are an idiot!! Those french fries and milkshakes are messing up your thinking capacity for sure!!
 
Leo sitakutukana nimefunga usije ukaniharibia swaumu. 🤣🤣🤣 Nimekupuuza mnuka nnya
 
Nimetia timu ni mda wa panya kutoka Kenya kusikiliza sasa. Bullying Style tunaweza sana 🤣🤣🤣
hii battle umeiweka kwa roho sana...deep down we dont hate Tanzanians lakini hard tackle lazma mpokee.Mkija vibaya sisi pia nayo nayo
 
So distance ndio nn? Au unaleta kitu gani ?
Better inform of what?? Kwamba kuna nn ambacho kinafanya kua better?

Dar kuna BRT to airport na soon kuna ujenzi wa electric city train pia itakwenda airport, mean while IPO MGR train inatoka mjini mpaka airport

Au unaposema better ni interms of what Yani munapayuka as if ni watu mumerogwa au mumelewa 😁😁😁😁😁

Tatizo lenu nyinyi hamupendi kushindwa Hasa inapokuja Tanzania muko tayar kushindwa na Rwanda lakini sio Tanzania😁😁 na mulivo mahayawani hua munadhani Tanzania ni mhasimu wenu

Anyway same person different I'd haya Rudi kwenye I'd yako, chogo kama mwiko
 
Wewe kweli ni kocho 🤣🤣 kuhusu distance , from Dar airport -CBD ni 11 km while the distance From Nairobi airport -CBD ni 12 km.. ni same distance tu kwa hizo barabara mzee 🤣 🤣🤣

Kitu cha pili utalingashaje barabara yetu ya zamani na barabara yenu basic four lanes road yenye ndio hiyo mnategemea forever.? 🤣🤣🤣 Barabara yetu apigwa upgrade kufikia 8 lanes ndani yake kukiwa na BRT lanes+brt stops. Hiyo comparison mnataka haipo wazee 🤣🤣🤣🤣

Labda kama mlilenga kusema Nairobi airport road is better than Dar old airport road, hii ndio inaeleweka na naeza kukubaliana nanyi

Ila Kwasababu tumeng'oa hiyo barabara na kuweka mpya kwasasa hiyo discussion hakuna mzee 🤣🤣🤣 hatuwezi linganisha basic four lanes road vs 8 lanes road+ BRT lanes and bus stops with in. Hii comparison haipo we mnuka mavi.
 
Wasichokijua hawa wanuka mavi ni kwamba DAR haitokua tena na barabara za kawaida hizi four lanes. Especially barabara kubwa zote except ocean drive road. Barabara zote kubwa zinakula BRT lanes, kwahyo barabara zote zitakua na 6 lanes kuendelea mbele na hii ni kando na service roads.. nyie wanuka mavi sisi tumeamua kuweka bars ambazo you will never attain 🤣🤣🤣🤣
 
At the end of the year Tanzanian entire airports will handle less than 5M passengers both domestic and international.
Ni ngumu kuelewa mkakati wetu ni nini kwa sasa mtulie tuu mtapata majibu baadae. Serikali yetu na watanzania hatuendeshwi kufanya vitu kwa mihemko ili kumfurahisha mkoloni ndio maana sisi ni miongoni mwa nchi za kiafrica tunamiliki lugha yetu wenyewe hatukurithi lugha ya mkoloni.
 
Wee kima, nimekuambia utazame video ndio uache kupayuka husikii.
Barabara inayounganisha JKIA na CBD haina lanes 4 bali ni lanes 12. yani hata mkijenga hiyo BRT yenu hamuifikii.
La pili, kutoka JKIA hadi CBD ni 19km, sio 12km.
Naelewa kwa watu wote kwenyee huu uzi wewe ndio maskini so inaeleweka umekosa bando ya kutazama video.
 
Naelewa kwa watu wote kwenyee huu uzi wewe ndio maskini so inaeleweka umekosa bando ya kutazama video.
Sio maskini tu. Sama boy 255 ni maskini wa kutupwa, the reason haezitamaza hizo video ni juu msichana leo hajamnunulia bundles. Hile bundles yenye Ako nayo can't allow him to watch even a two minutes video.
 
Watch the videos, idiot. Ama uwezo wa kuziwatch ndio huna?
 
Sio maskini tu. Sama boy 255 ni maskini wa kutupwa, the reason haezitamaza hizo video ni juu msichana leo hajamnunulia bundles. Hile bundles yenye Ako nayo can't allow him to watch even a two minutes video.
Hivi kweli hii ni picha yako au ni ya babuyo?
👇 👇 👇 🤣 🤣 🤣 🤣

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…