ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Same pic 2018π π πHua wanadanganya eti hizi daladala haziko dar is a slum. π π π
![]()
Same pic 2017π π π
Same pic 2018π π πHua wanadanganya eti hizi daladala haziko dar is a slum. π π π
![]()
Wewe mbona ni okota okota tu mzee.? Kwanza ni nani kasema kama hizi daladala hazipo DAR.? We still have them since hadi leo tuna BRT phase 1 ambayo inafanya kazi, unajua DAR ni kubwa kiasi gani.? Wiliya ya ilala pekee Iko na population ya watu 1.5 million ambapo kila siku inatembelewa na watu almost 2 million kwaajili ya biashara n.k. Kwahyo tunatumia kila aina ya usafiri kufika makaziniHua wanadanganya eti hizi daladala haziko dar is a slum. π π π
![]()
Toilet boy unataka nikulete picha ya 2024 ama?
Unapost picha za zamani kuzungumza habari za leo πππ saivi buguruni to Kariakoo yote imekula BRT lanes.Toilet boy unataka nikulete picha ya 2024 ama?
Kwa hivyo hakuna daladala dar is a slum?Unapost picha za zamani kuzungumza habari za leo πππ saivi buguruni to Kariakoo yote imekula BRT lanes.
Nimekwambia hio ni picha inatumika na ilipigwa over 10yrs ago π π π πToilet boy unataka nikulete picha ya 2024 ama?
Daladala zipo tena sio tu zipo, zipo daladala nyingi kuliko sehemu yoyote East Africa, siwezi kuongea uongo kwenye hili mzee, hizo buses za BRT zipo zaidi ya 250 na hizitoshi kuhudumia Morogoro road pekee,Kwa hivyo hakuna daladala dar is a slum?
Unataka ya 2024 kama hii. ππππ Mbona ulikua unapigwa?Nimekwambia hio ni picha inatumika na ulipigwa over 10yrs ago π π π π
Kwann uhangaike kuokota picha ovyo za Google Kwan unaumia Sana auπ€£π€£
Au anachukulia coaster sawa na fuso za kubebea ng'ombe wanazopanda?Daladala zipo tena sio tu zipo, zipo daladala nyingi kuliko sehemu yoyote East Africa, siwezi kuongea uongo kwenye hili mzee, hizo buses za BRT zipo zaidi ya 250 na hizitoshi kuhudumia Morogoro road pekee,
Unataka ya 2024 kama hii. ππππ Mbona ulikua unapigwa?
View: https://x.com/AmryThompson/status/1767427186053496893?s=20
Unataka ya 2024 kama hii. ππππ Mbona ulikua unapigwa?
View: https://x.com/AmryThompson/status/1767427186053496893?s=20
Hua wanadanganya eti hizi daladala haziko dar is a slum. π π π
![]()
Since you are new let me introduce you to the factsβ¦ We Kenyans accept our country is great but not perfectβ¦ we donβt deny our weaknesses as we thrive to make it a better placeβ¦.. On the other hand.. You Bongos act like your country is the perfect paradise of milk and honeyβ¦ you twist every problem exposed to denialism or act like itβs not real and itβs our own eyes lying β¦ we call that Blind Patriotismβ¦ itβs stupid since it means you live in fantasy world and Lala land β¦ no wonder you remain a third world LDCβ¦. Now letβs watch you become a good blind patriotic boy β¦ proceedβ¦.π€£π€£π€£π€£Tatizo la watu wa nairobi mnapenda sifa.....kumbe mna hali ngumu kiuchumiπ€£π€£π€£π€£
Kingereza hakileti hela mfukoni
Bongolalas wakipewa msaada wa chakula na USA, Kenya is attracting investors from the US.
Free market economicsβ¦ money follows moneyβ¦ I have never seen you criticize the presence of the few KFC outlets in Dar β¦ so why nitpick MCβDs?.. unless you had food poisoning while you resided in the Statesβ¦π
Watu wana B hara T lakini usafiri bado ni shida. π π π π
View: https://x.com/iDreamfoto/status/1745858277735305273?s=20
Nyang'au haoni makosa hata kidogo. Badala ya McDonald's yeye anaandika kama inavyotamkwa, ha ha haπ