Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Okay hata mtu aliyepungukiwa fikra anaweza kuchagua. Bwana The best 007 tafadhali chagua moja. Ni wakazi 2.5 million ama ni 80% ya wakazi wa Nairobi. Ama unamaanisha 2.5 million people ni 80% ya wakazi wa nairobi?
Umechanganyikiwa
 
Inajengwa Kwa phases ndio,kwani hujasoma maelezo?
 
Okay hata mtu aliyepungukiwa fikra anaweza kuchagua. Bwana The best 007 tafadhali chagua moja. Ni wakazi 2.5 million ama ni 80% ya wakazi wa Nairobi. Ama unamaanisha 2.5 million people ni 80% ya wakazi wa nairobi?
Umechanganyikiwa
Never argue with a brain that dwells on mythology of magical waters to stop bullets … he’s from that lineage… it’s his DNA….🤣🤣🤣🤣
 
Nairobi ni 696km sq ni sawa haya toa Nairobi national park over 120km sq haya toa misitu na mapori over 200km sq kimebaki nn cha ajabu 🤣🤣🤣🤣 slums ziko zaidi ya arobaini Nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…