Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watakuja kukuambia unavaa jeans inayobana juu wamezoea kuvaa kama wazee. "Gashagua style" 😂😂😂
 
Hakuna mahali nimejiongelea mimi kwenye kile nilichao andika.

Nimesema hivii, alifutiwa matokea Galanosi form 4 kwa udanganyifu wa mtihani, pili, five na six alipiga Forest Hill, Morogoro alipotoka na 4. Usilete hapa mambo ya degree kwakua zinauzwa bei chee kwa kilaza yeyote mwenye uwezo wa kulipia.


Sasa wewe uko bize kuniongelea mimi. BTW, seminary hawachukui kilaza na mimi nimetokea St. Francis de Sales, Kihonda, Morogoro. Sisi huanza na pre-form one huko Lububu, Tabora chini ya wasomi wa viwango vya masters kuendelea, mapadre Wakihindi. Huko mwaka na nusu ni kujifunza lugha ya malkia. Ni marufuku kuongea Kiswahili unapoanza form one Morogoro. Wanafunzi wote waliokuwapo Forest Hill ni failures, sasa sijui unanifananishaje na vilaza.

Tatizo lako ni itikadi za NATO chini ya kivuli cha Makobazi. 🙄
 
Tatizo la huyo mwana hata yeye ni boya ndio maana hawezi ku-identify boya from mtu mwenye akili. Sisi tunaanza form one tukiwa na uwezo wa kuandika na kuongea a concise, well-organized, and grammatically accurate sentence. Wakati hakuna na huwezi mkuta mtu toka shule za serikali ama shule za kiboya kama Forest Hill anauwezo huo.

Kingereza kipi cha Makamba alichoanzia kujifunza USA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…