Acha ubishi wa kifala we jamaa.
Mataifa takriban 20+ yalikuja Kenya kwa wito wa USA SIO KWA WITO WA KDF.
NA IMEFANYIKA HIVYO KWASABABU KENYA KUNA US MILLITARY BASE.
TANZANIA HAKUNA US MILLITARY BASE.
Na aliyeratibu mafunzo ni US army sio KDF.
Punguza ubishani wa kifala.
Hebu soma vzr maelezo kabla huja comment mbuzi wewe 😄😄😄😄Penye Kenya ilikua back in 2017, bongoslum hata bado hawajafika hapo in 2024.
View: https://x.com/MOH_Kenya/status/882585156166582272?s=20
Ony 11 referral hospitals in tangagiza have a renal unit.
Eti huduma za kibingwa. 😂😂😂👇👇
View: https://x.com/kapeto98/status/1765025429738451050?s=20
Ukiitoa kibera Nairobi ni kama Mombasa tuThis is Mombasa skyline. The difference between Mombasa and Dar are just three blue towersView attachment 2929496
Leta mapato ya rugby kesha tufananishe na mapato yanayozalishwa na ligi ya NBC premier league.
🤣🤣🤣🤣🤣 Naskia Raha Sana
You have just proved his point that your poor army came to Kenya for trainings.
Mapato unataka kufanyiwa nini? Ama ndio itafanya Tanzania uanze kushinda mechi zake AFCON?Leta mapato ya rugby kesha tufananishe na mapato yanayozalishwa na ligi ya NBC premier league.
Kesha tufananishe na mapato yanaopatikana timu zikishiriki CAFCL.
Ushaishiwa hoja.
Andika vizuri. Must you always show your level of education in your writings?Who is trainer
Mbona unazunguka zunguka??Mapato unataka kufanyiwa nini? Ama ndio itafanya Tanzania uanze kushinda mechi zake AFCON?
Right now you should be planning on how to get your first ever win at AFCON.
Nisome nini vizuri na imeandikwa hospitali kumi na moja pekee za rufaa.Hebu soma vzr maelezo kabla huja comment mbuzi wewe 😄😄😄😄
Wacha kujifanya mjanja na hakuna kitu unajua. Si ndio hao wanajeshi wenu hapo na masufuria kwa kichwa. 😂 😂 😂
Kuna Kibera mia Moja DarUkiitoa kibera Nairobi ni kama Mombasa tu