Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Value of Currency measured in PPP mzee. Hujui mambo ya uchumi nikusaidie?
Thamani ya Currency ya Kenya ni Ndogo ukilinganisha na thamani ya Currency ya Tanzania.

Almost every Tanzanian owns mobile Phone

View attachment 2927090
Did i read this correctly? 😂😂😂
We mzee lala. Umechanganyikiwa
 
Yaani Ruto ndio anafanya marketing ya Mombasa port kwa style ya kishamba namna hii? Kweli Dar port inawapelekea moto wakundustan 😂😂

View: https://youtu.be/42OLKjX38Xo?si=BBT0Ikux7pFWmi90

View: https://www.instagram.com/reel/C4LYA0xIH1B/?igsh=bjYxeXNjeTZudHUz

Screenshot_20240307-205114.jpg
Screenshot_20240307-205237.jpg
Screenshot_20240307-205321.jpg
Screenshot_20240307-205758.jpg
 
Ushamba ndio utakuumiza kijana Router ya nini wakati upo na Smartphone? Unataka watu wazunguke na routers kwenye shughuli zao za kilimo? 80% ya watanzania ni wakulima. Nadhani wewe ni mshamba 🤣 🤣 🤣 🤣
Ngoja unajua router ni nini kweli?kumbe you are one of the sample kwa izo stats 😂😂
 
Mzee ushamba wako wa technology usiuoneshe kwa watu utachekwa 🤣 🤣 🤣 🤣
In our smartphone we have Hotspot Tethering you can connect more than 7 people. au hujui?

WLAN route inafanya nini mdogo wangu hebu eleza 🤣🤣🤣👇👇👇

View attachment 2927139
Mkuu hao wangese wa kikunya wanajiropokea vitu visivyo na fact,africa hii TZ tunaongoza kwa kutumia internet hata hao SA hawatufikii,tuna vitu vyetu wenyewe ambavyo tunafuatilia,kesho nitakuja na fact hapa na kama kuna kunyanduliwa yyt akileta fact kama hiyo nipigwe ban
 
Hehe jokes we hujui unacho kisema hata top 5 hampo
 
Alafu logistics company inahusiana aje na Ruto ama marketing of Mombasa port?Plus umejiweka own goal umeskia reasons yao kuja mombasa kweli? Mnavutanga nini huko south jameni ama shule ndio changamoto
 
Screenshot_20240307-201526_Instagram.jpg

Hii fact ndogo,kesho nitatuma hapa,TZ hadi bibi wa miaka 70 anatumia smartphone kwa ajili ya insta,wa TZ wengi wanatumia internet for fun ni % chache sana ndio wanaitumia kwa kuwaingizia kipato,kule insta ni kawaida mange kupost ndani ya dk 10 akawa na like 1000 na comment 200,huko kunyan umaskini umewashika hamna ubavu,then ukija upande wa kuweka data TZ uwa hatunaga ujinga huo
 
Yani mtu una akili mgando sijawahi kuona, kwa issue ni kuwa na fixed internet au kuwa na access to the internet. If access through my cellphone works, and I am happy with it, tatizo liko wapi??

Hivi unaakili au matope humo kichwani mwako?
The argument was about fixed internet internet subscription. You need to follow up the discussion before you start exposing your stupidity here.

Anyway I won't be surprised that the person trying to engage me on matters fixed internet is a primary school dropout.
 
Ngoja unajua router ni nini kweli?kumbe you are one of the sample kwa izo stats 😂😂
That guy is clueless about everything. Hata hiyo route hajaiona in real life, some hours back he didn't even know how it looks like until he googled its picture.
 
Alafu logistics company inahusiana aje na Ruto ama marketing of Mombasa port?Plus umejiweka own goal umeskia reasons yao kuja mombasa kweli? Mnavutanga nini huko south jameni ama shule ndio changamoto
Ruto ndio kaandaa hayo maigizo ya kitoto eti kutengeneza uvumi kwamba wafanyabiashara wanakimbia bandari ya Dar wapumbavu ninyi, hakuna company inayoitwa nemis logistics iliosajiliwa Tanzania, hawa vichaa hawafanyi huu ujinga bila facilitation ya serikali yenu!
 
Safaricom and Jamii Telecommunication Owned by Mama Ngina and Affiliates 🤣 🤣 🤣 🤣
Mkuu hao wangese wa kikunya wanajiropokea vitu visivyo na fact,africa hii TZ tunaongoza kwa kutumia internet hata hao SA hawatufikii,tuna vitu vyetu wenyewe ambavyo tunafuatilia,kesho nitakuja na fact hapa na kama kuna kunyanduliwa yyt akileta fact kama hiyo nipigwe ban

View attachment 2927460
Hii fact ndogo,kesho nitatuma hapa,TZ hadi bibi wa miaka 70 anatumia smartphone kwa ajili ya insta,wa TZ wengi wanatumia internet for fun ni % chache sana ndio wanaitumia kwa kuwaingizia kipato,kule insta ni kawaida mange kupost ndani ya dk 10 akawa na like 1000 na comment 200,huko kunyan umaskini umewashika hamna ubavu,then ukija upande wa kuweka data TZ uwa hatunaga ujinga huo
Huu Ni utoto kuleta h

Huu Ni utoto kuleta hapa screenshot za Instagram while kuna official statistics, actually washamba tu ndo wanatumia Instagram at this time and age, internet has. Many uses example IOT actually statistics zinaonyesha hamko hata top 10
 
View attachment 2927460
Hii fact ndogo,kesho nitatuma hapa,TZ hadi bibi wa miaka 70 anatumia smartphone kwa ajili ya insta,wa TZ wengi wanatumia internet for fun ni % chache sana ndio wanaitumia kwa kuwaingizia kipato,kule insta ni kawaida mange kupost ndani ya dk 10 akawa na like 1000 na comment 200,huko kunyan umaskini umewashika hamna ubavu,then ukija upande wa kuweka data TZ uwa hatunaga ujinga huo
Only 30% of Tanzanians own Smartphones. I'm sure if we go individually it's less than 18% of Tanzanians having smartphones juu the figures from your government only shows the number of devices in Tanzania where you will find one person having even three to four smartphones.

Screenshot_20240307-150921.png
 
View attachment 2927460
Hii fact ndogo,kesho nitatuma hapa,TZ hadi bibi wa miaka 70 anatumia smartphone kwa ajili ya insta,wa TZ wengi wanatumia internet for fun ni % chache sana ndio wanaitumia kwa kuwaingizia kipato,kule insta ni kawaida mange kupost ndani ya dk 10 akawa na like 1000wa Instagram na comment 200,huko kunyan umaskini umewashika hamna ubavu,then ukija upande wa kuweka data TZ uwa hatunaga ujinga huo
Ukitaka kuleta info leta official statistics si huu upuzi wa likes za mtu
 
Back
Top Bottom