Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niliangalia hiyo post nikatingisha kichwa. Nakwambia on this forum we are wasting time with illiterate people.🤣
The dude is clueless. He is literally learning about what a router is as he is arguing about fiber connectivity😂
 
Ruto ndio kaandaa hayo maigizo ya kitoto eti kutengeneza uvumi kwamba wafanyabiashara wanakimbia bandari ya Dar wapumbavu ninyi, hakuna company inayoitwa nemis logistics iliosajiliwa Tanzania, hawa vichaa hawafanyi huu ujinga bila facilitation ya serikali yenu!
We una kichaa Sasa cassapool si comedian tu hehe
 
Mkuu hao wangese wa kikunya wanajiropokea vitu visivyo na fact,africa hii TZ tunaongoza kwa kutumia internet hata hao SA hawatufikii,tuna vitu vyetu wenyewe ambavyo tunafuatilia,kesho nitakuja na fact hapa na kama kuna kunyanduliwa yyt akileta fact kama hiyo nipigwe ban
You remind me of the time Best 007 posted over 20 times that Bongo real GDP is $300 billion… he also claimed he had facts to back his straight outta mental institution claims… we challenged him and we are still waiting… am glad I didn’t hold my breath for it….🤣🤣🤣🤣… nyinyi tunawaelewa …🤣🤣🤣
 
Konza Technopilolis

1709837921968.png
 
Hapa hakuna mambo ya mother language
You can't dictate to me the language I will be using here, idiot.

Again before you start to quote my comments learn on how to construct your sentences with proper punctuations.
 
Back
Top Bottom