This particular court of arms was adopted in 1971. Mnakuwanga na ubishi wa kifala.
Mafuta yalipungua mara ngapi kabla ya kupanda?Imepanda kwa sh 112 wakija kupunguza wanapunguza sh 10 halafu machawa sasa kama kina ChoiceVariable watakavyojaza mate humu kusifia
Mwezi ujao watashusha 20/- halafu mwezi unaofuata watapandisha 100/- hivyo hivyo hadi 3,500/-.Watu kimya husikii wakipost hiiπ€£π€£π€£
View attachment 2925818
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1765235763984162897?t=_21MQKSMT4uFTK6wtDbl7A&s=19
Nyang'au bado ni masnichi hadi leoπYupo siView attachment 2925899nichi wao kweli hapo
Pia wanatumia neno kung'atuka bila kujua lina historia na Nyerere (from Zanaki tribe) kuondoka madarakani lakini bado watasema kiswahili ni chao ππThe 'soul' in this context refers to the historical and cultural heritage of our country related to the building.
The name of the building, 'IKULU' comes from the word 'MAKULU' in kigogo (a bantu language of the natives of Dodoma, which means the residency of Mtemi or Chief). That building is a blend of both African and Arabic architecture reflecting the people of the coastal area.
During the WWI, it was bombed to the ground and later rebuilt by the British. Every section has some historic background and soul to it, from the original central block, the Princess Margaret wing, all the way to the Kikwete building. You're just mad because yours (in Nairobi) don't even have a native name to it, no soul.
View attachment 2925605
UngujaMkuo gani huu?
Mafuta ina Kodi 22 kwenye nchi hii mpaka REA pia inakodi kwenye mafuta πππMwezi ujao watashusha 20/- halafu mwezi unaofuata watapandisha 100/- hivyo hivyo hadi 3,500/-.
Kwani soko la dunia bei imepanda? Houthi wanaleta balaa.
Kuna ndege moja imempeleka Rais Nigeria ππππ B737-9 IPO kule Yani sijui hzi ndege zimenunuliwa kwasababu ipi ? Ndege inavunja safari za abiria inaenda kukaa siku 2 au 3Lazy bongolalas wameshindwa hadi na domestic flights. π π π π
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1764875957330911548?s=20
Ngara na Westland iko ndani πππ parkland iko ndani na CBDNgara is getting denser.
Sasa Onesha yupi wa Kwanza kati ya hizo jamii kuingiza ikulu kwenye official usage ππIkulu is a key bantu word that means 'Heaven' or 'High Place' or 'Palace' or 'residence of the King/God'. Almost every Bantu language has it. The fact that Bongolalas are mesmerised by it trying to create a stupid nationalism about it is just laughable. Here are versions of the word Ikulu from various Bantu languages that mean 'high place' or 'residence of the King/God' in case anyone felt like feeling special.
Luhya (Middle Dialect) - Ikulu/Mwikulu
Luhya (Southern Dialect) - Iguru (Mwiguru)
Kikuyu - Iguru
Kiganda - Eggulu
Kinyarwanda - Ijuru
Zulu - Izulu
Xhosa - Izulwini
Kikamba - Ihulu
Kikisii - Iguru
Sukuma - Ikulu
Here is Rufftone's song done in English and Luhya titled Mwikulu to mean Heaven.
View: https://youtu.be/ml0vLwX_cQk?si=WmYZK679iAxcc7nn
You're the real culture thieves.
Case closed.