I am starting to question extents ya IQ ya mkenya, nimeanza kufikiri kua kati ya Nchi 54, Kenya ni nchi ambayo ipo tayari kumkaribisha mkoloni tena.Naona bado uko denial stage. Wacha nijaribu kukuharakishia usonge the next stage. 🤣 🤣
View attachment 2925027
Wewe ushaingia stage ya anger. Good progress. 😀 🤣I am starting to question extents ya IQ ya mkenya, nimeanza kufikiri kua kati ya Nchi 54, Kenya ni nchi ambayo ipo tayari kumkaribisha mkoloni tena.
Eti render ndio tunaringishiwa? Na mijitu haijifunzi TULILETEWA PINNACLE, TUKAJA SGR, TUKAJA ONE OF KIND BUS TERMINUS. Omba matokeo sasa.
Na huo uwanja kwa features zote wanajenga one Year. Duh!
Okay let see.
Mikoa ya Mbea na Njombe naona inafaa kuinvest utalii kama wa Thailand, na Indonesia I mean South Asia, mazingira kama yanafananaSt. Joseph Ilocha Seminary, Njombe, Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
View attachment 2925388View attachment 2925399View attachment 2925400View attachment 2925401
🤣🤣🤣 Wazee wamechoka kuitwa taifa lisilo na future, sahiv wameamua hata render tu watembee na upepo. 🤣🤣🤣 Watu wanapost render kulinganisha na vitu vyenye vilishajengwa already. 🤣🤣🤣Wamfki hatua sasa wanashangilia render😂😂
Eti developed county 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa hiyo unaamini alichosema ni uongo?That's data from NBS, wataalamu wa statistics huko bongoslum. Wewe huna data, your opinions are based on emotions.
😅 😅 😅Kuna bhukungu nyingine au ni hii tuu
View: https://twitter.com/TeyaKevin/status/1765065535598035192?t=acT9pcfbG3YTH-7warGseQ&s=19
Upo sawa wewe!!!!Humo kichwani uko sawa sawa kweli!?
Humo kichwani uko sawa sawa kweli!?
Kidongo chekundu city 🤣🤣🤣🤣🤣Nairobi kwenyewe kidongo chekundu.....tu.
Pazuri city center only.....njooni dar mule upepo wa bahari
The 'soul' in this context refers to the historical and cultural heritage of our country related to the building.It's tacky, you can borrow and do a good thing but yours is just tacky. You speak of lacking a soul like someone who doesn't understand what lacking a soul means. You are building a capital on the edge of a town and the capital is full of government buildings whose architecture is a direct yet poor copy of either Arab architecture or the original structure built in Dar es Salaam by your colonists. In case you don't understand what lacking a soul means - that's the exact definition of lacking a soul. A concrete jungle of boring government buildings with nothing else - no recreation, no shopping, no entertainment, no parks, no academic institutions, no vegetation, nowhere for humans to interact and tacky copy of Arab architecture. Nothing screams lack of soul like your city. Brasilia even sounds better.
Kwenye picha you are second to none.
Huyu sio mimi Boss😎Kwenye picha you are second to none.
Ndugu umefanya nimeingia Google kutafuta origin ya neno Ikulu.The 'soul' in this context refers to the historical and cultural heritage of our country related to the building.
The name of the building, 'IKULU' comes from the word 'MAKULU' in kigogo (a bantu language of the natives of Dodoma, which means the residency of Mtemi or Chief). That building is a blend of both African and Arabic architecture reflecting the people of the coastal area.
During the WWI, it was bombed to the ground and later rebuilt by the British. Every section has some historic background and soul to it, from the original central block, the Princess Margaret wing, all the way to the Kikwete building. You're just mad because yours (in Nairobi) don't even have an native name to it, no soul.
View attachment 2925605
We endelea kujitekenya.Where is your data ya 2024? Kama huna nyamaza. Watu wa informal economy.
Hawa jamaa sijui ni kipi hawawezi fanya.