muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,855
Hehe!! Zile A220 zinawapasua kichwa 🤣. Ni ndege nzuri sana ila tatizo ni technical support structure. Wazungu au waarabu ndege moja inanunuliwa na injini hata 10, ikisumbua hii inapachikwa hii. Sasa Sisi na umasikini watu hatari 🤣🤣
Huu uwanja na wasi wasi unaweza kuwa mali ya mchina. Maana hatujaona sehemu wamekopa. Na unajengwa kwa kasi sana. Nasmini sio mali yao hii 🤣🤣Good Morning Bongostan … Since Nairobiwalker posted the 5 stages of grief… I will help you evolve to the second stage… 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2924835
Kumbe we
Dah, huu mradi umekula kijiji chetu chote pale pangani, kuna msikitini wa miaka 200 nao unaondoka, nimesikitika ila ndo maendeleo, kutakuwa na kama ring road moja matata sana! Yani pakikamilika PANGANI yote itabadilika sana !!
Maza amebeba maziwa makuu lakin bado anaskuma maji kwa mkokoteni.Sio jambo la kawaida maji kukatika Dar... Ndio maana wameweka tangazo kabisa.
Wanarekebisha mabomba ya maji kutoka catchment area Ruvu huko.
Ila kwenu huko kukosa maji ni kawaida ndio maana huko nganya za ku supply maji ni ajira rasmi huko pipelines and slums area
View attachment 2925196
lol,,,,maybe modern changed meaning,,,,might be modern in the whole tanganyikaMore of Dodoma, the most modern city in East, west and central Africa.View attachment 2925108View attachment 2925109View attachment 2925111View attachment 2925112View attachment 2925113View attachment 2925114View attachment 2925115View attachment 2925117View attachment 2925118
Yeah! na kweli watapiga. Hiyo hela ni ndefu mno kwa liuwanja kama malishio ya wanyama.wanatengeneza mazingira ya mtu kupigwa hapo utaskia gharama ni $300 mln!
Sasa unapojipa moyo kwa kuchagua visehemu vichache ili iweje? Je, kariobangi itabadilika? Je, Mathare itabadilika? Je, ma slums yataisha?Hiyo Kariobangi na Mathare unayotaja have better houses, roads (paved) and organisation than your sprawling uswazi hovels that stink to the coreView attachment 2923202View attachment 2923205View attachment 2923624View attachment 2923625View attachment 2923626View attachment 2923627
Huyo anakuambia kenya ina mabasi na stand nzuri kuliko Tanzania unashangaa stadiums? Sasa muambie akupostie ndo utakapojua wakenya hawana akili 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 ila watu