Tunajaza nchi zilizooza kwa matatizo ya kiuchumi na anguko la kisiasa,je tutaweza kabiliana na hili??Congrats Somalia.Welcome Ethiopia & Djibouti
View: https://www.instagram.com/p/C4GK6Ehoq1a/?igsh=MWJ4cHBmamN0M3piaQ==
Matatizo hayatatuliwi Kwa kuyakimbiaTunajaza nchi zilizooza kwa matatizo ya kiuchumi na anguko la kisiasa,je tutaweza kabiliana na hili??
Maana katika hii jumuiya ni Tanzania pekee yuko imara kwenye kukabiliana na changamoto.
Maana hata rais wa Somalia mwaka jana alimlilia mama Samia kwenye ufunguzi wa barabara mpya ya kikanda Arusha.
Mie sijafurahia sana maana kiuhalisia Tanzania imejiongezea mzigo begani.
Na hao kina Abiy Ahmed watizameni msije anza sikia nao wataka jiunga.
Hii video inawapiga dole la kati wakenya lazima wakae kikao cha haraka. 🤣 🤣 🤣 🤣
Hapana mzee. Hapa tunajiongezee nguvu ya maamuzi kwenye AU na UN.Tunajaza nchi zilizooza kwa matatizo ya kiuchumi na anguko la kisiasa,je tutaweza kabiliana na hili??
Maana katika hii jumuiya ni Tanzania pekee yuko imara kwenye kukabiliana na changamoto.
Maana hata rais wa Somalia mwaka jana alimlilia mama Samia kwenye ufunguzi wa barabara mpya ya kikanda Arusha.
Mie sijafurahia sana maana kiuhalisia Tanzania imejiongezea mzigo begani.
Na hao kina Abiy Ahmed watizameni msije anza sikia nao wataka jiunga.
Kunyan hawana akili,mitura,githeri mixer chang'aa imeharibu akili zaoHii video inawapiga dole la kati wakenya lazima wakae kikao cha haraka. 🤣 🤣 🤣 🤣
Jenga kwanza acha kutupigia kelele, kwanza kaangalie Render ya Nairobi Green terminus, si mliiweka humu mkaita stand zetu hazifikii, itakua one of kind, yeah ikageuka zaidi ya kituo cha daladala, na mabusi yanayoingia sasa 🤣🤣😨Stages of grief
1. Denial
2. Anger
3. Bargaining
4. Depression
5. Acceptance.
Naona sahii bado wako kwenye denial. Wakianza matusi nitajua wamefika kwenye anger ila sindani wataipata tu. 🤣 🤣 🤣
Dude, angalia isijekua sababu ya nyie kupotea humu.Good Morning Bongostan … Since Nairobiwalker posted the 5 stages of grief… I will help you evolve to the second stage… 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2924835
Naona bado uko denial stage. Wacha nijaribu kukuharakishia usonge the next stage. 🤣 🤣Jenga kwanza acha kutupigia kelele, kwanza kaangalie Render ya Nairobi Green terminus, si mliiweka humu mkaita stand zetu hazifikii, itakua one of kind, yeah ikageuka zaidi ya kituo cha daladala, na mabusi yanayoingia sasa 🤣🤣😨
U walk with Renders sio?Naona bado uko denial stage. Wacha nijaribu kukuharakishia usonge the next stage. 🤣 🤣
View attachment 2925027
LEGENDARY!! SLANDERSome like Best 007 pray everyday for a disaster to destroy every Kenyan… he’s so evil he celebrates death causing accidents ….very weird ..his evil obsession has become a distraction even at his watchman job… actually 007 stands for 0 effort, 0 motivation and 7 toilet breaks he takes every hour…🤣🤣🤣🤣🤣
Kenya wametuacha sana tuache ushabiki…Hiyo expressway ni balaa….mmetisha majirani…kongole kwenu….Sisi huku nilisikia wanataka kujenga ya kulipia kibaha chalinze watu wakalamika humu jamii forums.Kunyan hawana akili,mitura,githeri mixer chang'aa imeharibu akili zao
View attachment 2924921
Pia tizama uwezo wa kipi unachoweza kukabiliana nacho.Matatizo hayatatuliwi Kwa kuyakimbia
Pita kule, Mwai Sadima Dickson mwaiofhawaii mpumbavu wa ukoo wa Sadima.Some like Best 007 pray everyday for a disaster to destroy every Kenyan… he’s so evil he celebrates death causing accidents ….very weird ..his evil obsession has become a distraction even at his watchman job… actually 007 stands for 0 effort, 0 motivation and 7 toilet breaks he takes every hour…🤣🤣🤣🤣🤣
Asante kwa picha ya enzi za Nyerere 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
More of Dodoma, the most modern city in East, west and central Africa.