Huyo anakuanga mjinga kila siku, alafu anakuambia ati hiyo field can host AFCON.According to Kosugi Logic, this is a 90,000 capacity stadium. You just need to build modern stands around it, the toilets and changing room. After all there is enough land for that. Nakwambia hili jukwaa nimepatana na wendazimu wewe.🤣 🤣
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Una uhakika?Hamna stadiums Tanzania, and that’s why wenzako wamekuacha ung’ang’ane pekoe yako. Outside Dar there’s nothing.
Yani kila siku kuna mjinga Mtanzania anahit a new low kwa hii forum. 🤣 🤣Huyo anakuanga mjinga kila siku, alafu anakuambia ati hiyo field can host AFCON.
Please do.Una uhakika?
Can I prove you wrong?
Unazidi kujishusha hadhi.According to Kosugi Logic, this is a 90,000 capacity stadium. You just need to build modern stands around it, the toilets and changing room. After all there is enough land for that. Nakwambia hili jukwaa nimepatana na wendazimu wewe.🤣 🤣
We nawe fala kama mwenzako mnaleta picha ya shamba mnasema kiwanja?Huyo anakuanga mjinga kila siku, alafu anakuambia ati hiyo field can host AFCON.
NairobiWalker ametumia figure of speech on that comment, unfortunately imekupita cause you don’t understand what it is.We nawe fala kama mwenzako mnaleta picha ya shamba mnasema kiwanja?
Talanta iko wapi zaidi ya render😂😂😂Hivi sasa unataka kulinganisha hivyo vistadium vidogo mnavyojenga na Talanta stadium? Una shida ya akili wewe.
Huyu Kosugi sidhani kama amemaliza Shule ya upili.🤣kuna graph ingine nairobae alipost hapa stating that 63% of Tanzanian workforce are Primary School dropouts. I think hao ndio majority in this thread.
Jenga Kwanza alaf kenua mdomo muliomba 1km of SGR SASA hvi tunajengwa over 1500km 6phases na huskii MTU akipiga kelele😂😂Sijaiona ukiulizia construction board ya Talanta Stadium, expressway ilikudemoralise ama?
With Atlanta, Opening Game and Finals will be played in Nairobi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Na mijitu ina like kabisa yet hamuna hata CAF standard hata mmoja achilia mbali FiFA standardsThere's no stadium in Tanzania that comes close to Nyayo Stadium.
View attachment 2922025
View attachment 2922026
Aquatic Stadium at Nyayo undergoing renovation
View attachment 2922029
Indoor Arena at Nyayo Stadium
View attachment 2922032
There's no stadium in Tanzania with all those facilities under one building.
Abeid karuta,Jamhuri Morogoro,Nyamagana Mwanza na Mkwakwani Tanga.Please do.
Aya bhana.NairobiWalker ametumia figure of speech on that comment, unfortunately imekupita cause you don’t understand what it is.
🤣🤣🤣 Aisee imefikia tunadharauliana hivi?Huyu Kosugi sidhani kama amemaliza Shule ya upili.🤣
Hiyo ni carpet ikiamuliwa inatolewa.