Well put 😂😂😂Hivi unaelewa stadium ikijengwa hizo pitch lazima zibomolewe ndio ujenzi uendelee? Haya yako ni kama kujisifu una gari eti umenunua gurudumu bado tu chasis, body na engine. Yani unakaa mjinga sana.
There is no difference between this and Kakamega High School Football Pitch 😂Afrika Mashariki uwanja pekee unaokidhi vigezo vya kimataifa ni BENJAMIN MKAPA STADIUM.
Niletee huo uwanja wa Rwanda niuone??
Viwanja vya Tanzania vina pitch nzuri renovation inahitajika katika majukwaa,vyumba vya kubadilishia nguo,vyoo na mabenchi ya ufundi.
Hivyo vya hapo vina uwezo wa kuingiza zaidi ya mashabiki 25k kama majukwaa yakirekebishwa.
View attachment 2922015View attachment 2922016View attachment 2922017View attachment 2922018
Ndio huo uwanja kama ukijengewa majukwaa na vyoo unachezewa AFCON.Umepost huu uwanja ukasifia eti ''renovation inahitajika katika majukwaa,vyumba vya kubadilishia nguo,vyoo na mabenchi ya ufund''.
Hivi hiki ni kiwanja cha kupakapaka rangi na kichezewe Afcon? Wewe wacha nikuache maanake akili yako ni kama sio nzuri vile. 🤣 🤣
Kakamega nimeuona katika mechi za FKF hauna lolote bro tupunguze ushabiki.There is no difference between this and Kakamega High School Football Pitch 😂
This thing can’t even host Kenya National Secondary ball games.Ndio huo uwanja kama ukijengewa majukwaa na vyoo unachezewa AFCON.
Sijai ona football pitch nzuri Kenya .This thing can’t even host Kenya National Secondary ball games.
This was 2023 Secondary Schools National games in Kakamega.Sijai ona football pitch nzuri Kenya .
Natizama league yenu brothee.
Siku nitakupigia picha viwanja mnavyotumia katika league yenu uje ufananishe na hiyo pitch .
Huo ulioleta labda majukwaa ila kwa pitch naupa jamhuri
You don’t have stadiums in Tanzania apart from Mkapa and hile moja ya Zanzibar. Kenya there are so many small stadiums in every county.Huo ulioleta labda majukwaa ila kwa pitch naupa jamhuriView attachment 2922054
"Majukwaa tu" 😂. Then basi hata Dandora stadium has higher chances of hosting AFCON than whatever bullshit you posted in the name of a stadium kwani Dandora stadium already ina majukwaaMbona unajikanganya??
Hivyo viwanja vya Nou camp na Bernabeu ulifuatilia sababu zao za kuvijenga upya hivyo viwanja??
Sie hatuna sababu ya kujenga upya ila tunatakiwa kujenga majukwaa tu.
Kwani ni kwenu ukoWakenya tuko wengi sana Qatar...weehh
Ndugu yangu unaenda wrong."Majukwaa tu" 😂. Then basi hata Dandora stadium has higher chances of hosting AFCON than whatever bullshit you posted in the name of a stadium kwani Dandora stadium already ina majukwaa
Dandora stadium.
View: https://www.instagram.com/p/Cvu2HhmoFHw/?img_index=1
Vs
View attachment 2922061
Ona nyasi zilivyo na viraka.You don’t have stadiums in Tanzania apart from Mkapa and hile moja ya Zanzibar. Kenya there are so many small stadiums in every county.
Homabay County
View attachment 2922057
We use natural grass while we’re unashangilia artificial grass, are you really normal?Ona nyasi zilivyo na viraka.
Ona pitch ya Kaitaba ilivyotulia.View attachment 2922072
Hivi hao 25k watakalia hiyo zege ama wataegea kwa hicho kifense uchwara huko nyuma? 🤣 🤣 🤣Ndugu yangu unaenda wrong.
Dandora haina majukwaa ya kuhodhi mashabiki zaidi ya 25k.
Majaliwa ina uwezo wa kuhodhi mashabiki wanaokimbizana idadi na Mkapa.
Pia Majaliwa uwanja wake ni 120 metre chenu kidogo.
Yani Dandora itabidi ivunjwe ipanuliwe Majaliwa haihitaji kuvunjwa ipanuliwe.