If this is a stadium according to you then goodbye. Na bado mnataka kushindana na Kenya.That is a stadium brother.
Hujaona sehem za majukwaa za kukalia watu??
Ila ni vile majukwaa yote ya Cement hayana taste.
Wewe kweli ni kichaa 🤣🤣🤣 mpaka kufkia sasa sisi tayari tuko na viwanja viwili already kwaajili ya Afcon, hiv hapa 👇View attachment 2921501View attachment 2921507another one 👇View attachment 2921508.. they're both qualify CAF standards, na likija suala la kujenga viwanja vipya sisi tunajenga viwanja viwili, kati ya hivyo kimoja hiki hapa render yake hii Arusha stadium 👇View attachment 2921509View attachment 2921510vs hii renda enye ndio utakua Uwanja pekee wenye utapata CAF standards 👇View attachment 2921511🤣🤣🤣🤣 sasa sijajua unatutishia nini
Kenya uwanja ulio active na pitch nzuri ni Kasarani pekeake.If this is a stadium according to you then goodbye. Na bado mnataka kushindana na Kenya.
View attachment 2922021
Hata mie nawashangaa sana.Msevu hizo render mwisho wa siku tutaona nani katoa kitu kama kilivyo kwenye michoro yalammayeeeeeee
Nimechoka na wewe. We have fools and we have confident fools. Fools can be taught but confident fools are a lost case. Siku njema brother.Sio sahihi.
Sio kila stadium ikijengwa lazima pitch ibomolewe.
Hapana umekosea tena sana.
Mathalan Jamhuri Dodoma akati unajengwa majukwaa na kuwekwa taa pitch haikubomolewa.
Unarekebisha majukwaa na vyoo unagusaje pitch??
Labda uniambie pitch inaweza ikaathirika na ujenzi ila sio kubomolewa,na kama kiathirika ni nyasi tu zitarekebishwa baada ya ujenzi.Viwanja vingi Tz asahv ni nyasi asilia sio makapeti.
Uwanja wenyewe ni artificial tuft. 🤣 🤣If this is a stadium according to you then goodbye. Na bado mnataka kushindana na Kenya.
View attachment 2922021
Naona ninyi mko vizuriIf this is a stadium according to you then goodbye. Na bado mnataka kushindana na Kenya.
View attachment 2922021
Ndivyo wakenya mlivyo huwa nishawazoea.Nimechoka na wewe. We have fools and we have confident fools. Fools can be taught but confident fools are a lost case. Siku njema brother.
Broo, there is a difference between renovation and reconstruction. Mfano, kitakachofanyika Kasarani ni renovation, hapo pitch haitobomolewa unless iharibiwe kibahati mbaya na heavy machinery wakati wa renovation. Hizo viwanja ulivyopost ni pitch pekee, vinaitaji full reconstruction. For those to be called stadiums lazima hizo pitch zibomolewe. Kweli dwanzi ni dwanzi tu. 🚮🚮Sio sahihi.
Sio kila stadium ikijengwa lazima pitch ibomolewe.
Hapana umekosea tena sana.
Mathalan Jamhuri Dodoma akati unajengwa majukwaa na kuwekwa taa pitch haikubomolewa.
Unarekebisha majukwaa na vyoo unagusaje pitch??
Labda uniambie pitch inaweza ikaathirika na ujenzi ila sio kubomolewa,na kama kiathirika ni nyasi tu zitarekebishwa baada ya ujenzi.Viwanja vingi Tz asahv ni nyasi asilia sio makapeti.
There's no stadium in Tanzania that comes close to Nyayo Stadium.Kenya uwanja ulio active na pitch nzuri ni Kasarani pekeake.
Natizama FKF league mna viwanja vibovu aisee.
Ukiwaelezea wanakupa majina mara confident fool mara nini.Msevu hizo render mwisho wa siku tutaona nani katoa kitu kama kilivyo kwenye michoro yalammayeeeeeee
Kwa mtizamo wako wewe.Broo, there is a difference between renovation and reconstruction. Mfano, kitakachofanyika Kasarani ni renovation, hapo pitch haitobomolewa unless iharibiwe kibahati mbaya na heavy machinery wakati wa renovation. Hizo viwanja ulivyopost ni pitch pekee, vinaitaji full reconstruction. For those to be called stadiums lazima hizo pitch zibomolewe. Kweli dwanzi ni dwanzi tu. 🚮🚮
Mifano wa reconstruction hii hapa
Camp Nou Barcelona
Amagoro Rwanda
Tazama pitch zote zimebomolewa.
East Africa uwanja pekee wa mpira ni Mkapa stadium sijaona mwingine.There's no stadium in Tanzania that comes close to Nyayo Stadium.
View attachment 2922025
View attachment 2922026
Aquatic Stadium at Nyayo undergoing renovation
View attachment 2922029
Indoor Arena at Nyayo Stadium
View attachment 2922032
There's no stadium in Tanzania with all those facilities under one building.
Mbona unajikanganya??Broo, there is a difference between renovation and reconstruction. Mfano, kitakachofanyika Kasarani ni renovation, hapo pitch haitobomolewa unless iharibiwe kibahati mbaya na heavy machinery wakati wa renovation. Hizo viwanja ulivyopost ni pitch pekee, vinaitaji full reconstruction. For those to be called stadiums lazima hizo pitch zibomolewe. Kweli dwanzi ni dwanzi tu. 🚮🚮
Mifano ya reconstruction hii hapa
Camp Nou Barcelona
Amahoro Rwanda
Santiago Barnabue Madrid
Tazama pitch zote zimebomolewa.
Umepost huu uwanja ukasifia eti ''renovation inahitajika katika majukwaa,vyumba vya kubadilishia nguo,vyoo na mabenchi ya ufund''.Kwa mtizamo wako wewe.
Au hao waliojenga hivyo viwanja hawana akili?
Majaliwa stadium akati inazinduliwa waliojenga hiyo uwanja walisema kabisa kuwa kwa uwazi uliobaki ni kumalizia majukwaa tuu na vyumba vya nguo pasi na pitch kuguswa.
Vivyo hivyo kwa jamhuri Dodoma pale yale majukwaa ni kupigwa paa na kuwekwa viti.
Wakenya mnajikuta wajuaji sana.
Najua tofauti ya reconstruction na renovation.
View attachment 2922035
Tizama mfano wa Jamhuri Dodoma hapo.
Mkapa in not a football stadium but a multiple sports stadium, that's why it has a running track. Talanta will be the only pure football and rugby stadium in East Africa.East Africa uwanja pekee wa mpira ni Mkapa stadium sijaona mwingine.
Hapa tunazungumzia viwanja vya mpira.
Wacha nikuache. Kama alivyosema mwenzangu, a confident fool is a dangerous person. 🤣 🤣Mbona unajikanganya??
Hivyo viwanja vya Nou camp na Bernabeu ulifuatilia sababu zao za kuvijenga upya hivyo viwanja??
Sie hatuna sababu ya kujenga upya ila tunatakiwa kujenga majukwaa tu.
Maybe hiyo ndio kitu kinamfurahisha😄😄😄.Uwanja wenyewe ni artificial tuft. 🤣 🤣