I like the way you desperately said you HOPE 😀😀😀That Talanta thing is quite something. I hope it creates a precedence of high quality stadiums in the country.
Ww hata sheria za CAF unazijua Kwanza uwanja uwe na uwezo wa kubeba mashabiki elf 30 ww ananionesha kepchonge sijui bukhungu upuuzi mtupu😂😂😂😂😂Current stadiums under construction for AFCON
Nyayo stadium.
View attachment 2921260
Talanta hela stadium
View attachment 2921263
Nyayo stadium..
View attachment 2921264
Kipchoge Keino stadium
View attachment 2921266
Bukhungu stadium.
View attachment 2921267
Dream toka moi 😂😂😂 haya amka ukakojoe usije kojoa kitandanihopefully,this shall be some legacy projects za president Ruto ..including the famous mombasa gates bridge..View attachment 2921287
Haya ni makazi ya asilimia 90 ya wakenya hata kina teargas na Sadima huishi humo.
Hajui sisi viwanja vyetu vinahitaji tu simple renovation viweze kufanya kazi.Unataka kushindana na Tanzania kwenye uwanja ??😂😂😂😂😂 Huko hata usiguse
Stop embarrassing yourself old man.Angalia final structure ujue uwezo wenyu hugota wapi!
Unaumia ukiwa wapi.?thanks for reposting the 1000th time son.
Ulivyo fala unashindwa kujua kwamba watanzania wapo zaidi ya milioni 65. If we do calculations, then here under will be the true answer 👇👇Watanzania wamejaa virusi
View attachment 2921102
Wakunyanduliwa wengi hasa wa ukanda wa pwani wanatibiwa TZWakundustan wamekubali mziki wa Tanzania 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C375WpMKTxm/?igsh=MTZhdTNtb2ZiajJiNA==
Mta change render mpaka mfe lkn afcon hamuandai na hamna vigezo, mkiandaa afcon me naondoka humu kwenye hii forum.Groundbreaking for Talanta Stadium is today. They have changed the design to gel with the environment as it will now be constructed in Nairobi as opposed to Mombasa and also to accommodate the space and increase capacity.
It will be purely football stadium with no running tracks.
Initial design
View attachment 2921135
Current design
View attachment 2921137
Mkijenga huo uwanja naondoka jamii Forums, serikali yenu ipo hoi bin taaban, isitafute donation na kazi za ndani kwa wakenya kule uarabuni ikajenge uwanja ili ipambane na Tanzania nchi inayojitosheleza? Never ever, take it to your bank.That Talanta thing is quite something. I hope it creates a precedence of high quality stadiums in the country.
Huo uwanja mpya wa kunyan utajaa watu wakati wa afcon baada ya afcon watafugia mbuzi na machokoraaNyinyi Tanzania hamuijui vzr narudia kusema hvi ufunguzi utafanyika Tanzania na final itafanyika Tanzania 😄😄😄😄
Nchi yenye washabiki wanaopenda soccer
Uko na wivu za kike wewe bongolala. Ulichobakisha wewe ni kuanza kuona hedhi tu kisha ujinyongeHata hii ni kelele tu!
Huwa unasema Kenya tuko zaidi ya milioni sitini na Tanzania hamjafika milioni tisini, leo vipi mmekuwa wengi hivo nasi wachache hivo?😄Ulivyo fala unashindwa kujua kwamba watanzania wapo zaidi ya milioni 65. If we do calculations, then here under will be the true answer 👇👇
Tanzania popn = over 65m
Tz = 1.7m÷65m×100
= 2.6%
Kenya population= over 50m
Ke = 1.4m÷50m×100
= 2.8%
So, kwa maneno mepesi kenya kuna maambukizi mengi kuliko Tanzania, hii hata kiuhalisia tu iko wazi, no Wonder kanchi kadogo mpo wengi kama kumbikumbi, mnapigana miti mpaka kwenye recreational parks, tena wazi wazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo anashindaga akisema render render render on every Kenyan project like a remote-controlled robot. Yani wivu hazimuachi apumue!Someone is getting eaten from inside out…May I suggest acupuncture or maybe anger management…🤣🤣🤣
Kanchi kenu ni kadogo, you were supposed to be not more than 40m popn, ila kwakuwa mnapenda ngono mnakaribia kutuzidi kwa wingi, that is why ukimwi unawasumbua sn huko.Huwa unasema Kenya tuko zaidi ya milioni sitini na Tanzania hamjafika milioni tisini, leo vipi mmekuwa wengi hivo nasi wachache hivo?😄
Unauliza about funding wakati groundbreaking ishafanyika meaning kazi imeanza rasmi!Who is going to fund it ? your gok is broke
More than 60% ya viwanja vyenu havi qualify Ku host NBC Tanzanian premier League, na ndio mana hata Azam inapata shida kuonesha league yenu, vumbi mwanzo mwisho, hamtoandaa afcon, nisikilize mm.Ilishafungwa and construction is in progress. Pole sana mzee.
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1762484827624751399?s=20