Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The SA army is the only visible one....others who worship SA like tz are flower girls and mark you Tsitshekedi has agreed to talk to Kagame after pressure from USA and told to reinstate the Nairobi Luanda deal .hehe
Blaaa blaaah blaaah.
That's Kunyan perception as usual.
M23 bado wanakula kibano toka TPDF we endelea kukenua westgate.
Kwa Msumbiji TPDF inafanya kazi kuliko jeshi la SA kaa utafute habari magaidi huko wanapewa kikando cha kimya kimya.
SADF hao guirrella war huwa wanaiogopa sana.
 
Wewe bwege nimevuka kigongo Busisi na ferry kote nakufahamu.

Kule Kigongo Busisi ni max.ya saa 1 na ukitumia Kamanga ferry ni max.ya dk.45.

Hiyo ni Kwa kutumia hayo magari yaliyochoka ya Temesa.

Ndio maana nikakwambia ningekuwa Mimi ningenunua ferry za Kisasa na nzuri ndio mvukie huku mapesa mengine nikisafisha vumbi la Slums za Mwanza.

Nyie wenye local reasoning hamuwezi kuelewa haya mambo,sikiliza wenye akili za kiuchumi kama zangu wakiwapa shule na kuwashangaa hapa πŸ‘‡

View: https://youtu.be/P_v7srOk7QY?si=KhNEkhpNkEFtUOSH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…