Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,145
- 33,019
Endelea kujifariji. Hakuna anaye kukataza😎Yes we have SGR, we have bridges and for BRT (public transport)we have commuter rail network. So everything you are yapping about are in Kenya.
😂😂😂 Hii Kisumu mbona ni vioja manzee, kando ya hiyo empty Calvert kuna nini kingine ulitaka kuonyesha chenye u guys don't wait your gvt to invest? 😂😂Kisumu ni bling bling and hatungojei magorofa tujengewe na serikali
View attachment 2919635
Hao Jambo jet wameona flightlink wanafaidi saana......mxm....wivu tu!!
Wanatumia pesa nyingi Sana kumtangaza Yani nastaajabu nchi hii kuna watu wanalipwa KAZI Yao kumsifia mama🤣🤣🤣Wait kwamba Daraja la Kigogo busisi kwako halifai WTF?
Hiyo SGR unajua imevutia investments ngapi, ambazo zingeenda Kenya ikiwa SGR yao ingefika Uganda?
Hopeless kabisa.
For your information hizo ndio strategic kabisa zote unazokataa sio kujaza nchi nzima mabango ya nani kama mama
Yani hapo ukipiga kiberiti Tu inageuka kua after burner 😂😂😂😂
Where is BRT in Kenya??😂😂😂😂Yes we have SGR, we have bridges and for BRT (public transport)we have commuter rail network. So everything you are yapping about are in Kenya.
Don't waste your time bro.That's why nasema I doubt your level of education and reasoning capability.
Watu wanaovuka kuja upande wa pili ni wananchi wa hand to mouth na biashara zao nyingi huzifuata ama kuzifanyia ng'ambo.
Kivuko cha kisasa cha kutembeza watu 30+ kilometa?
Sehemu ambayo mzunguko wa kiutaftaji ni mara kwa mara?!
Pindi kivuko kama cha MV.Magogoni kikibeba round ya kwanza kinaacha mamia ya raia ng'ambo wakiwaza na kuwazua kinarudi saa ngapi ili nao wavuke kwenda kufanya shughuli zao za kipato.
Unataka zitandazwe rami kwanza kesha uache wananchi wakitaabika katika suala la kuendea shughuli za kiuchumi???
Unatakiwa urudi darasani aisee.
Pia ondoa ujinga TZ mji pekee uliojengwa kwa mipango miji ni MWANZA labda Dodoma ndio itakuja kuipiku kwasababu ni mji wa kiserikali.
Ila kimipango miji kwasasa HATA DAR HAIJAJENGWA KIMPANGILIO KUIZIDI MWANZA nimefika.
WE HAD THOSE 10 YEARS AGO what they are struggling to conjure upYes we have SGR, we have bridges and for BRT (public transport)we have commuter rail network. So everything you are yapping about are in Kenya.
ohhh...ohhhh....lakini wapiWanuka nnya wanajifanya hawajaiona hii,😂😂 hii wala sio government city, 4 km away from city centerView attachment 2920128View attachment 2920129View attachment 2920130View attachment 2920131View attachment 2920132View attachment 2920133halafu hii hapa sasa ndio unyama wenyewe dog government city 17k. away from city center 👇View attachment 2920138View attachment 2920139View attachment 2920140halafu kuna huu mtaa 9 km away from city center 👇View attachment 2920143.. residential area 9
Kenya started this trend and they copied but in a primitive way…🤣🤣🤣… We always lead they follow… remember when they demanded SGR after we did ours but inferiority complex made them force an electrified line… ( not bad play)… but it’s a game of let’s wait and see how this Dar- Moro line performs …. Regardless Bongo will always play second fiddle to Kenya…Yaani nyumba ya diamond imejaa cabro za petrol station all over!!!!