Brothee that house which you posted here ni ya Mtanzania anayejengwa kwa kudunduliza.According to you this is the house of a rich man in Kenya?
View attachment 2918923
And this is the house of a poor man in Tanzania?
Khaaaa!What you posted is a contemporary design. You can find that anywhere in the world. I'm talking about common designs that are unique to Kenya and Tanzania.
Naona unataka kulianzisha tena.
At least this one is something. This one is not a Kitenge mansion.
Hivi kulikuwa na sababu gani hasa ya kuwatoa wamasai Ngorongoro?
Same na hiyo ya Mkenya nikiyolinganisha nayo. It is not a high earner. Hii Ni nyumba ya Mwalimu ama Karani hapa Kenya. I'm comparing apples to apples.Brothee that house which you posted here ni ya Mtanzania anayejengwa kwa kudunduliza.
Yani asiye na uhakika wa kipato toshelezi na hata gharama yake ukitajiwa ushangae aisee.
Hili jina kitenge I don't know mmelitoa wapi!!?At least this one is something. This one is not a Kitenge mansion.
Mombasa Kuna Waarabu na Waswahili kibao. Hizo ndio design zao maanake Ni waislam. Hiyo ndio culture Yao. Ukipata Mombasa nyumba isiyo Na architecture ya kiislam jua aliyeijanga ni 'Mtoka bara' kama wanavyotuita Sisi tusio na asili ya kipwani.Hili jina kitenge I don't know mmelitoa wapi!!?
Ila in Kenya kuna nyumba za Mombasa nazipenda sana yani zimekaa design ya kisultan hivi.
Hivi bado mwazijenga hadi sasa?
Sasa Mtanzania wenu anakuwaje mwenzetu? Saa zingine huwa mnabehave ni kama mmerogwa. 🤣 🤣
Sijasema hamjaitumia, nimesema ni contemporary design. Contemporary design Ni minimalistic design yenye inafocus on utility, functionality and simplicity. Hiyo ni design iliyo worldwide. Ukienda nchi yoyote utaipata kwa hivo Sio design ya kuringa nayo kama Mtanzania. Naongolea design mlizobuni wenyewe na ziko very common huko kwenu.Khaaaa!
Hiyo design tumekua tunatumia miaka na miaka!
Hata nyumba yetu ya kwanza tulojenga 1998 ilikua na design hiyo sema ni ya chini.
That is a common design to us budda.
Basi pia kuna aina nyingi za ubunifu w upauaji, nikipata wasaa nitapiga picha nikuoneshe.Sijasema hamjaitumia, nimesema ni contemporary design. Contemporary design Ni minimalistic design yenye inafocus on utility, functionality and simplicity. Hiyo ni design iliyo worldwide. Ukienda nchi yoyote utaipata kwa hivo Sio design ya kuringa nayo kama Mtanzania. Naongolea design mlizobuni wenyewe na ziko very common huko kwenu.
With single ProboxThe Pride of Africa
Then your top earners need to upgrade.
Ndoto za mlevi akunywa sungura hapingwi mchana kwenye jua kali😂😂😂😂😂