Tundu Lissu to be treated in Kenya IS POLITICAL MOTIVATED.Just mention the name of those Kenyans coming to Tanzania for treatment cause for me I can mention 1,000 Tanzanians coming to Kenya for treatment.
View: https://twitter.com/Asmali77/status/920658706852995073?s=19
DuhhhπππππππHii comment itakuwa ya ichoboy01 πππ
View: https://x.com/tboundbuses/status/1761290447710826751?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Haki ya mamaπ€£π€£π€£π€£π€£ Teargas ni msengeeee!Kuwa na remote haimanishi uko na Netflix ama DSTV. Maybe wewe ni fundi wa remote na uliletewa uzitengenezeπππ
Mkenya ni kondoo kabisa amekaa hapa anashindana kisa netflix πππππVitu vya kawaida kwangu.
View attachment 2915208
Eti WiFi ww kweli ni chizi wa kwenda πππUlitaka kukasirisha mtanzania mwambie mambo WiFi, Netflix, KFC, JAVA, Pizza Inn, Bolt, Uber, Glovo and other multinational brands.
Hapo lazima mkosane.
Kuna vitu vingine wanguwa wananyamaza, huku ni kujitia aibu Tu, Yani mwezi mzima tani 380 tu!! Hawaoni aibu kuweka hapa hizo takwimu?? Yani katika siku 30 ndege inajaza kwa wastani wa siku 7 Tu! Sasa ndo nini!?
Mzee tani 380 unazijua wewe? Ndege ni moja tu.Kuna vitu vingine wanguwa wananyamaza, huku ni kujitia aibu Tu, Yani mwezi mzima tani 380 tu!! Hawaoni aibu kuweka hapa hizo takwimu?? Yani katika siku 30 ndege inajaza kwa wastani wa siku 7 Tu! Sasa ndo nini!?
ATCL wawe serious kwa kweli!!!
Unalinganisha notice ya maintenance na mgao? Kichwa Chako kizuri? This is actually a testament of a working system, Sio hapo kwenu kila siku blackout alafu ni ya kushtukia.Tunaendelea tulipoishia daily doseπ
K24 Digital β Your News, Anytime, Anywhere
Top News Celeb Watch 411 411 Heartbeat 411 Just In 411 Play Heartbeat Play 411 Play 411 Playwww.k24tv.co.ke
Ukiona kitu kinatajwa tajwa sana ujue ndio kwanza kakijua au kakiona π , Getho likose kweli hivi vitu basicπEti WiFi ww kweli ni chizi wa kwenda πππ
Hujui mpaka kampuni za simu zina WiFi majumbani tena kampuni kama TTCL,halotel etc πππππ
Mm natumia go fiber πππ ww unatumia nn
View attachment 2915318
Wewe bro si ununue TV stand baadala ya kuweka TV kwa meza. You can even mount it on the wall kama huna TV Stand.Ukiona kitu kinatajwa tajwa sana ujue ndio kwanza kakijua au kakiona π , Getho likose kweli hivi vitu basicπ
View attachment 2915622
Mkiwin any continental trophy unitag tafadhali.
Naamini ukikua utaacha.Wewe bro si ununue TV stand baadala ya kuweka TV kwa meza. You can even mount it on the wall kama huna TV Stand.
Lakini is Meza is a big NO. Ama Tanzania kila mtu ni mshamba?