Kuwa na remote haimanishi uko na Netflix ama DSTV. Maybe wewe ni fundi wa remote na uliletewa uzitengeneze😂😂😂Kwenye kulea watoto tuhakikishe wanapata exposure ya kutosha, ili asije kupaparika na vitu vya kawaida akiwa mkubwa maana ni aibu. 😂😂😂
View attachment 2915080
As usual you play second fiddle to us..😂😂Hata Tanzania ilivyoingiza movie Netflix kulikuwa excitement kama hivi... Ila ni vitu tumeshazoea.. Na nyinyi mtazoea tu jirani.
Sii kubishana bro, Ni kujibu swali. Nimekuja kugundua Wabongo mnakuwanga na projection Sana. Yani ukiona Mbongo anakuita mshamba, jua yeye ndio mshamba. Akikuita maskini, jua yeye ndio hohehahe kabisa. Sasa wewe hapa after tumekutoa Huu ushamba wote bado una nguvu ya kuita mtu mshamba?🤣Sibishani na washamba.
Kiukweli kaka mana huyu jamaa anatia aibu jamii yake humu ndani sio poa 😂😂😂 Yani jamaa katufikisha kubishana kuwa na Netflix 😂😂😂😂 Ooh my GodKwenye kulea watoto tuhakikishe wanapata exposure ya kutosha, ili asije kupaparika na vitu vya kawaida akiwa mkubwa maana ni aibu. 😂😂😂
View attachment 2915080
Lack of exposure, Netflix umejulia ukubwani.Kuwa na remote haimanishi uko na Netflix ama DSTV. Maybe wewe ni fundi wa remote na uliletewa uzitengeneze😂😂😂
Nimewaambia hii Nguruwe Teargas ni Kiumbe fulani fukara na amekulia katika maisha duni. Nikiangalia comments zake nambaki kumsamehe tu.Kwenye kulea watoto tuhakikishe wanapata exposure ya kutosha, ili asije kupaparika na vitu vya kawaida akiwa mkubwa maana ni aibu. 😂😂😂
View attachment 2915080
Huu ndio ushamba tunaongelea. Sasa remote ni kitu cha kuflex nacho? Mwengine anaflex na 32 inch TV. Yani Wabongo mna shida kweli.🤣🤣Kwenye kulea watoto tuhakikishe wanapata exposure ya kutosha, ili asije kupaparika na vitu vya kawaida akiwa mkubwa maana ni aibu. 😂😂😂
View attachment 2915080
Wengi wao hapa ni washamba na maskini ajabu.😂😂😂Sii kubishana bro, Ni kujibu swali. Nimekuja kugundua Wabongo mnakuwanga na projection Sana. Yani ukiona Mbongo anakuita mshamba, jua yeye ndio mshamba. Akikuita maskini, jua yeye ndio hohehahe kabisa. Sasa wewe hapa after tumekutoa Huu ushamba wote bado una nguvu ya kuita mtu mshamba?🤣
😂😂😂 Haya basi, tosha usije ukalia bure.Hiyo TV hukununua Malaya. Wewe update pesa wapi na unalishwa na bibi? Chakula pekee kupata ya maana ni shida kwako.
Haya, tuambie uliona movie ya Tiny: The Gift hapo Netflix mwaka gani.🤣Lack of exposure, Netflix umejulia ukubwani.
View attachment 2915092
Maybe wewe ndio umejua Netflix this year.Lack of exposure, Netflix umejulia ukubwani.
View attachment 2915092
Wakati naanza kutumia Netflix ku-stream movies miaka hiyo yeye alikuwa analiwa na jiggers. 😂😂😂Kiukweli kaka mana huyu jamaa anatia aibu jamii yake humu ndani sio poa 😂😂😂 Yani jamaa katufikisha kubishana kuwa na Netflix 😂😂😂😂 Ooh my God
Hebu tuambie kwanini huko Nairaland upo na accounts more than 10?Huu ndio ushamba tunaongelea. Sasa remote ni kitu cha kuflex nacho? Mwengine anaflex na 32 inch TV. Yani Wabongo mna shida kweli.🤣🤣
Nilijaribu kumuonyesha mbwa mwenzako kwamba hizo vitu mimi ni kitambo kwenye game, unataka nikionyeshe namiliki TV inch ngapi kwasasa.? 😂😂😂Huu ndio ushamba tunaongelea. Sasa remote ni kitu cha kuflex nacho? Mwengine anaflex na 32 inch TV. Yani Wabongo mna shida kweli.🤣🤣
Mtu anapost remote control eti sasa hiyo ndio exposure na bado anabaki na nguvu za kuongelea ushamba.🤣Wengi wao hapa ni washamba na maskini ajabu.😂😂😂
Alafu TV enyewe ni Itel na jamaa kametumia snapshots. Mwanaume yupi anatumia snapshots in this universe?😂😂😂.Huu ndio ushamba tunaongelea. Sasa remote ni kitu cha kuflex nacho? Mwengine anaflex na 32 inch TV. Yani Wabongo mna shida kweli.🤣🤣
Yaani nimecheka sana. Huyu dogo. Anasema 8 years ago alikuwa yupo chuo. Maana yake umri wake is not more than 27 year.Wakati naanza kutumia Netflix ku-stream movies miaka hiyo yeye alikuwa analiwa na jiggers. 😂😂😂
Uliza mamaqo.Haya, tuambie uliona movie ya Tiny: The Gift hapo Netflix mwaka gani.🤣